Ankal akila pozi na Friends of CCM huko Tarakea. Toka shoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Samaki Samaki ya Mlimani City, Hans Kasim, Bosi wa Yanga namba mbili Davies Mosha na ankal Bantu. Nyuma yao ni kilele cha Mawenzi cha mlima Kilimanjaro kinavyoonekana kwa upande wa pili. Haya ndio yaliyokuwa maeneo ya kujidai ya Davies Mosha wakati anapiga buku shule ya sekondari ya Namfua
Ankal na Friends of CCM wakinunua ndizi Tarakea


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. ANKAL USIPENDE KUFICHA MAMBO YAKO, KWANINI USEME "ANKAL NA FRIENDS OF CCM"? WEWE UNAJIFANYA KUJIWEKA PEMBENI WAKATI WEWE NI KIFURUKUTWA CHA CCM.

    ReplyDelete
  2. SASA MBONA HIYO KOFIA YA CCM UNAIFICHA WAKATI JANA NIMEKUONA LIVE ITV UKIWA UMEIVAA UKIPIGA PICHA!!!!!!!
    IVAE TU KWANI MFICHA UCHI HAZAI JAMANI ANKAL!!!!
    NI HAYO TU

    ReplyDelete
  3. CHANGE WE NEED!September 16, 2010

    Ankal hizo ni ndizi au mabhifu?au mabhifu inatumika ukiwa kule tu?haya poa,davies kumbe alisoma shule ile masela namfua sec?ndio maanaaaa...,hivi alitokea shule gani?maana namfua ninavyoifaham mimi ilikua ni kimbilio la wanafunzi waliofukuzwa shule nyingine,

    ReplyDelete
  4. FRIENDS OF CCM!!!

    WANAPALILIA BIASHARA ZAO TU KUNA LOLOTE HAPO

    ReplyDelete
  5. MICHUZI UCHAGANI HAKUNA CCM!!!MSITULETEE YA KULETA

    ReplyDelete
  6. Ankal hongera kwa kuvunja ukimya.

    ReplyDelete
  7. vacations za huko hazikufai. Utazania uko sudani au somalia vile...Umekua kama chungu cha bibi!!! Ukimaliza kupalilia CCM yako njoo huku utakate kidogo siye hatuna noma tutakupokea kwa mikono miwili.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...