

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
ANKAL USIPENDE KUFICHA MAMBO YAKO, KWANINI USEME "ANKAL NA FRIENDS OF CCM"? WEWE UNAJIFANYA KUJIWEKA PEMBENI WAKATI WEWE NI KIFURUKUTWA CHA CCM.
ReplyDeleteSASA MBONA HIYO KOFIA YA CCM UNAIFICHA WAKATI JANA NIMEKUONA LIVE ITV UKIWA UMEIVAA UKIPIGA PICHA!!!!!!!
ReplyDeleteIVAE TU KWANI MFICHA UCHI HAZAI JAMANI ANKAL!!!!
NI HAYO TU
Ankal hizo ni ndizi au mabhifu?au mabhifu inatumika ukiwa kule tu?haya poa,davies kumbe alisoma shule ile masela namfua sec?ndio maanaaaa...,hivi alitokea shule gani?maana namfua ninavyoifaham mimi ilikua ni kimbilio la wanafunzi waliofukuzwa shule nyingine,
ReplyDeleteFRIENDS OF CCM!!!
ReplyDeleteWANAPALILIA BIASHARA ZAO TU KUNA LOLOTE HAPO
MICHUZI UCHAGANI HAKUNA CCM!!!MSITULETEE YA KULETA
ReplyDeleteAnkal hongera kwa kuvunja ukimya.
ReplyDeletevacations za huko hazikufai. Utazania uko sudani au somalia vile...Umekua kama chungu cha bibi!!! Ukimaliza kupalilia CCM yako njoo huku utakate kidogo siye hatuna noma tutakupokea kwa mikono miwili.
ReplyDelete