Mwanamuziki wa maarufu wa kizazi kipya nchini ambaye aliekuwa mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Arusha, Nakaaya Sumari jioni hii ametangaza kukihama chama hicho cha Chadema na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Nakaaya Sumari Katangaza hayo jioni hii mbele ya Mgombea urais wa CCM,Dr. Jakaya Kikwete katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha wakati wa mkutano wa kampeni za wilaya ya arumeru.

Habari zaidi na picha badae

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 18 mpaka sasa

  1. I was suprisee it took that long time, she doesnt belong to CHADEMA,pointing out she is entertainer she found it boring, go and join your brothers {bongo flav} and perform for JK campign! Big up! you are still young and beautiful,make money, leave politics

    ReplyDelete
  2. sawa sawa nenda kwenye ulaji mama.
    "hongera" sana na dedicate wimbo wako wa "mr.politician" kwako nakaya.

    ReplyDelete
  3. AMETUMIA HAKI YAKE YA KIDEMOKRASIA, NAMTAKIA KILA LAKHERI HUKO AENDAKO.

    Tunahitaji watu makini ndani ya chadema na siyo mbayuwayu kama anavyoonekana huyu dada yangu. Kama aliingia chadema kwa maslahi binafsi hapakuwa mahala pake, sisi kwenye chama chetu maslahi ya umma yanawekwa mbele.



    Kila la kheri dada yangu, sisi tutaendelea na mapambano hadi kieleweka. People'sssssssssssssss............power, Slaa songa mbele


    Mdau wa chadema

    ReplyDelete
  4. Ametumia busara...

    ReplyDelete
  5. Uamuzi wa busara Nakaya,umoja ni nguvu utengano udhaifu katika vijana wa kizazi kipya,umejiuliza na umepata jibu,uamuzi wako ni kwa maendeleo ya sisi wote.

    Mickey Jones
    mdau wa Denmark

    ReplyDelete
  6. You cann't WIN while on opposition, better join the SWAGGA, so what ?? it is just another redicolous circus...wafanyabiashara wabunge, martist wabunge, madokta wabunge, everyone inspired to MBUNGE one day, so do my little son,

    ReplyDelete
  7. Kikatiba yuko sahihi maana anahaki ya kuhamia kokote apendako. Swali ni je ameamua kuwa mwanasiasa kwa kuguswa na matatizo yaliyopo katika jamii na hivyo kuwa na msukumo wa kutetea maslahi ya wanyonge wasio na nguvu wala sauti na mahali pakusemea matatizo yao au anatafuta ngazi kuelelekea kwenye mafanikio binafsi na umaarufu usio na tija kwa jamii yake? Mara nyingi tumekuwa tukisikia sababu zilizopelekea watu kuhama kutoka chama kimoja kwenda kwingine je yeye anasababu zipi zilizomtoa CHADEMA na kipi kimemvutia CCM kwasasa maana wakati anajiunga CHADEMA miezi michache iliyopita chama cha mapinduzi kilikuwepo

    ReplyDelete
  8. MAMBO IKO HUKO

    ReplyDelete
  9. CHADEMA inabidi muwe makini. Mmesahau kuwa kwenye msafara wa mamba, kenge nao wamo? Joesph Mbilinyi will be next!

    ReplyDelete
  10. Halelujah. Mungu amejibu sala zangu. Maana katika mambo niliyokuwa namuomba ni kwa Nakaaya kuondoka Chadema na kurudi nyumbani CCM. Hongera Nakaaya. Najua na Sugu atarudi tu. Iko siku kama siyo leo basi kesho. Atarudi tu.

    ReplyDelete
  11. Huna lolote wewe.Umeishiwa tuu

    ReplyDelete
  12. Hana lolote zaidi ya NJAA.

    ReplyDelete
  13. waganga njaa utawajua tu !!! njaa mbaya !!! inadhalilisha , sa si ungeingia toka mwanzo!!1

    ReplyDelete
  14. hana lolote nakaaya anatafuta tu maslahi na umaaarufu,hana uzalendo kabisa ndomana amethubutu kukisaliti chama chake,hana lolote kaitungia ccm wimbo wa kuikashfu saivi anajifanya anaipenda?jk kuwa makini na watu kama hawa ni wachafuzi tu hawana sera yoyote.mi aniambii chochote sifa tuuu.

    ReplyDelete
  15. kale kawimbo cha Jakaya 2010,mistari yake urimbo mkali,
    AKINA MAMA WOTE !tumchague
    Jakaya Kikwete
    AKINA BABA WOTE!Tumchague
    Jakaya Kikwete!
    VIJANA NA WAZEE !Tumchague
    Jakaya Kikwete!
    Tanzania!Jakaya Kikwete,
    Leo ni Leo !Kiwete

    ah! vichaa waliopiga wimbo huu wanajua nini ?matakwa ya walio wengi

    ReplyDelete
  16. FUCK YOU MICHUZI,WHY YOU FUCKIN HIDE DA COMMENTS?DONT BE FUCKIN BIASED,THIS IS MEDIA AND YOU SHOULD ALLOW PEOPLES OPPINIONS REGARDLESS.WHERE IS FREE SPEECH ASSHOLE?

    ReplyDelete
  17. nakaaya you just sold your soul to the devil... how much did it cost?. Traitor!

    ReplyDelete
  18. nakaaya you just sold your soul to the devil... how much did it cost?. Traitor!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...