Mwanamuziki wa maarufu wa kizazi kipya nchini ambaye aliekuwa mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Arusha, Nakaaya Sumari jioni hii ametangaza kukihama chama hicho cha Chadema na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Nakaaya Sumari Katangaza hayo jioni hii mbele ya Mgombea urais wa CCM,Dr. Jakaya Kikwete katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha wakati wa mkutano wa kampeni za wilaya ya arumeru.
Habari zaidi na picha badae
Nakaaya Sumari Katangaza hayo jioni hii mbele ya Mgombea urais wa CCM,Dr. Jakaya Kikwete katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha wakati wa mkutano wa kampeni za wilaya ya arumeru.
Habari zaidi na picha badae
I was suprisee it took that long time, she doesnt belong to CHADEMA,pointing out she is entertainer she found it boring, go and join your brothers {bongo flav} and perform for JK campign! Big up! you are still young and beautiful,make money, leave politics
ReplyDeletesawa sawa nenda kwenye ulaji mama.
ReplyDelete"hongera" sana na dedicate wimbo wako wa "mr.politician" kwako nakaya.
AMETUMIA HAKI YAKE YA KIDEMOKRASIA, NAMTAKIA KILA LAKHERI HUKO AENDAKO.
ReplyDeleteTunahitaji watu makini ndani ya chadema na siyo mbayuwayu kama anavyoonekana huyu dada yangu. Kama aliingia chadema kwa maslahi binafsi hapakuwa mahala pake, sisi kwenye chama chetu maslahi ya umma yanawekwa mbele.
Kila la kheri dada yangu, sisi tutaendelea na mapambano hadi kieleweka. People'sssssssssssssss............power, Slaa songa mbele
Mdau wa chadema
Ametumia busara...
ReplyDeleteUamuzi wa busara Nakaya,umoja ni nguvu utengano udhaifu katika vijana wa kizazi kipya,umejiuliza na umepata jibu,uamuzi wako ni kwa maendeleo ya sisi wote.
ReplyDeleteMickey Jones
mdau wa Denmark
You cann't WIN while on opposition, better join the SWAGGA, so what ?? it is just another redicolous circus...wafanyabiashara wabunge, martist wabunge, madokta wabunge, everyone inspired to MBUNGE one day, so do my little son,
ReplyDeleteKikatiba yuko sahihi maana anahaki ya kuhamia kokote apendako. Swali ni je ameamua kuwa mwanasiasa kwa kuguswa na matatizo yaliyopo katika jamii na hivyo kuwa na msukumo wa kutetea maslahi ya wanyonge wasio na nguvu wala sauti na mahali pakusemea matatizo yao au anatafuta ngazi kuelelekea kwenye mafanikio binafsi na umaarufu usio na tija kwa jamii yake? Mara nyingi tumekuwa tukisikia sababu zilizopelekea watu kuhama kutoka chama kimoja kwenda kwingine je yeye anasababu zipi zilizomtoa CHADEMA na kipi kimemvutia CCM kwasasa maana wakati anajiunga CHADEMA miezi michache iliyopita chama cha mapinduzi kilikuwepo
ReplyDeleteMAMBO IKO HUKO
ReplyDeleteCHADEMA inabidi muwe makini. Mmesahau kuwa kwenye msafara wa mamba, kenge nao wamo? Joesph Mbilinyi will be next!
ReplyDeleteHalelujah. Mungu amejibu sala zangu. Maana katika mambo niliyokuwa namuomba ni kwa Nakaaya kuondoka Chadema na kurudi nyumbani CCM. Hongera Nakaaya. Najua na Sugu atarudi tu. Iko siku kama siyo leo basi kesho. Atarudi tu.
ReplyDeleteHuna lolote wewe.Umeishiwa tuu
ReplyDeleteHana lolote zaidi ya NJAA.
ReplyDeletewaganga njaa utawajua tu !!! njaa mbaya !!! inadhalilisha , sa si ungeingia toka mwanzo!!1
ReplyDeletehana lolote nakaaya anatafuta tu maslahi na umaaarufu,hana uzalendo kabisa ndomana amethubutu kukisaliti chama chake,hana lolote kaitungia ccm wimbo wa kuikashfu saivi anajifanya anaipenda?jk kuwa makini na watu kama hawa ni wachafuzi tu hawana sera yoyote.mi aniambii chochote sifa tuuu.
ReplyDeletekale kawimbo cha Jakaya 2010,mistari yake urimbo mkali,
ReplyDeleteAKINA MAMA WOTE !tumchague
Jakaya Kikwete
AKINA BABA WOTE!Tumchague
Jakaya Kikwete!
VIJANA NA WAZEE !Tumchague
Jakaya Kikwete!
Tanzania!Jakaya Kikwete,
Leo ni Leo !Kiwete
ah! vichaa waliopiga wimbo huu wanajua nini ?matakwa ya walio wengi
FUCK YOU MICHUZI,WHY YOU FUCKIN HIDE DA COMMENTS?DONT BE FUCKIN BIASED,THIS IS MEDIA AND YOU SHOULD ALLOW PEOPLES OPPINIONS REGARDLESS.WHERE IS FREE SPEECH ASSHOLE?
ReplyDeletenakaaya you just sold your soul to the devil... how much did it cost?. Traitor!
ReplyDeletenakaaya you just sold your soul to the devil... how much did it cost?. Traitor!
ReplyDelete