Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi,Dk. Mohamed Gharib Bilal akishuhudia waliokuwa kambi mbili tofauti wakati wa kura za maoni waliokuwa wakiwania nafasi ya kugombea Jimbo la Tunduru Kaskazini, Omar Karola (kushoto) aliyekuwa wa pili katika kinyang’anyiro hicho na mshindi ambaye ni mgombea wa jimbo hilo kwa sasa, Eng Ramo Makani, walipokuwa wakipatana na kuvunja kambi zao wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye Kijiji cha Nakapanya jana.
Wananchi wa Kijiji cha Nakapanya Wilaya ya Tunduru Mkoa wa Ruvuma, wakifurahia na kumshangili Mgombea Mwenza wa Urais.Dk. Mohamed Gharib Bilal, alipokuwa akiingia kijijini hapo kwa ajili ya kufanya mkutano wa kwanza wa kampeni baada ya kuingia mkoa wa Ruvuma.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Mimi naona mpiga picha aliwaambia wanyanyue mikono juu, maana huyo siyo ile mikono inayonyanyuliwa kwa kushangilia kitu/mtu. Kazi kweikwei!

    ReplyDelete
  2. Wana CCM wenzangu, tukaze buti! Uzi ni ule ule. Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki CCM.

    ReplyDelete
  3. HONGERA ENGENEER MAKANI NATUMAI UTATEKELEZA AHADI ULIZOAHIDI WANANCHI WAKO. KILA LA KHERI

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...