JK akiwapungia maelfu ya wakazi wa mji wa Babati wakati wa mkutano mkubwa wa Kampeni uliofanyika mjini Babati jana jioni.
JK akisalimiana na wananchi wa Haydom, mkoani Manyara muda mara alipowasili katika mkutano wa Kampeni jana mchana.
JK akiongea na mwanafunzi Nicholaus Haba wa shule ya sekondari Dongobesh muda mfupi baada ya Rais Kikwete kuhutubia wananchi wa Kata ya Dongobesh wilayani Mbulu jana asubuhi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Ile ahadi ya kuwaleta Real Madrid vipiiiii?????

    ReplyDelete
  2. Achana na real madrids bwana, tuangalie mambo ya maana...... Tuletee Chicago Bulls.
    By Mdau Mbije,A

    ReplyDelete
  3. JK alitoa ahadi ya kuileta Real Madrid mwenyewe, akitueleza wananchi umuhimu wa ziara zake za ng'ambo. Ndo kusema tulipigwa changa la macho au?
    Hayo mambo ya Chicago Bulls hajawahi kuahidi, akifanya sawa asipofanya sawa lakini la Real Madrid ni ahadi yake na ahadi ni deni.

    ReplyDelete
  4. Mheshimiwa JK, Sisi wana-CCM wa Mbulu tuko na wewe na CCM licha ya shinikizo kutoka kwa baadhi ya wachungaji wetu wa makanisa yetu. Udumu umoja wa Tanzania, udumu umoja wa Watanzania, kidumu Chama cha Mapinduzi!!!!!!!!!!!!!!!!!!
    Garmii Halisi.

    ReplyDelete
  5. Mmmmmh! Kweli Tanzania hatuna Rais; labda kama mwaka huu tutafanya mabadiliko!

    ReplyDelete
  6. Wewe wa Mbulu acha uongo na kujipendekeza kwa Mh. Jk hakuna lolote utakalofaidika na CCM Mafisadi hawana huruma kama Huruma ni juu ya watoto wao tu jipendekeze uone wanavyokunyonya damu 2010- 2015, utanikumbuka kwa ujinga wako wa kuwanyima kura watu Makini amba ni wapinzani CHADEMA ndiyo Chama sahihi kwako Mbong.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...