



Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Yaani hayo maua mbona hayakufunguliwa kabisa? nyie watani vipi jamani?
ReplyDeletemichuzi kha unajua kurusha roho wenzio, sasa nikikutolea sehemu aliyotoka mkeo si roho itapaa,. boyfriend wangu ni mpare na mimi sijamuona siku nyingi nipo ukerewe nasoma basi nimefarijika, msinishambulie wadau ila imeniuma nampenda sana sitaki mzungu kabisa. nashukuru kaka yangu
ReplyDeleteManchester,UK
Dr Kikwete give me a break, he can not even debate
ReplyDeletesame kulivyo na ukame wamepata wapi maua? hivi ametekeleza ahadi yake ya 2005 kujenga kwa kiwango cha lami barabara ya mkomazi,ndungu,gonja,same?
ReplyDeletejamani naomba mnifahamishe mana nimechunguza sana misafara ya rais wetu katika kusaka kura kila anapoenda kuna wanajeshi sasa kampeni za vyama vya siasa na wanajeshi wapi na wapi au mi ndo sielewi naomba msaada wadau
ReplyDeletemimi ninataka kufungua kesi dhidi ya mwenyekiti wa wama ambaye ni mke wa raisi kwa matumizi mabaya ya pesa za umma kumfanyia kampeni mume wake, ninaomba maoni ya wadau licha ya kwamba nina uhakika mahakama haita nipa haki.
ReplyDeleteHuyu Fred Maro si ni mpiga picha wa Ikulu, sasa huko kwenye kampeni za CCM anatafuta nini? Analipwa na nani kuzunguka huko na mgombea wa CCM? Au CCM wamemkodi kwajili ya kazi hiyo, na kama ni hivyo ina maana amechukua likizo. Nisaidieni wadau
ReplyDeleteSiku hizi wazee wa kijitonyama nao wanavaa sare za chama? suti zikowapiiii
ReplyDeleteShikamoo kaka,
ReplyDeletejapo najua huwa unaitangaza hii kuwa ya jamii, na kukana blogu hii kuwa inapendelea chama fulani au la ila ankal kipindi hiki cha uchaguzi kinatusaidia kujua kuona ambayo hayasubiri mpaka uulize..... kazi njema
MWISHO WENU UMEKARIBIA WEZI WAKUBWA, JAMANI TUJITOKEZE KWA WINGI OCT 31 ILI KUWAWAJIBISHA MAFISADI KWA NJIA YA SANDUKU LA KURA NA TUSHIRIKIANE KUZILINDA KURA ZETU
ReplyDeleteJAMANI NAOMBA KUULIZA HUYO MWANAJESHI ANAFANYA NINI HAPO KWENYE SHUGHULI ZA CHAMA CHA SIASA?
ReplyDeletenyie chadema usiojua siasa na kudandia vit nyamazeni,eti mwanajeshi,ina maana hamumjui hata bodyguard wa rais,huyo ni bodyguard wa rais,sema akiwa mikoani ndo anavaa hivyo,akiwa sehemu maalum anavaa ile suti ya jeshi.na bodyguard wa rais ni lazima awena cheo ndani ya jeshi.inaonesha ulivyokuwa na akili ya la saba kama mgombe mwenza wenu.
ReplyDeletemhh mumetutia aiu wapare maua gani hayo
ReplyDeleteSi unaona Ras makunja uzalendo unavyokushinda! wenzio wote hapo wamevaa sare za sisiemu!wewe upo mbele na pamba za gwaride gwaride na kikifia chako cha kutishia wengine amani! kamanda jaribu kubadili tabia zako
ReplyDeletesasa ras makunja hiyo ni tabia gani?mbona wewe umevaa nguo tofauti na wenzio?
ReplyDeleteJamani makamba naomba unisaidie, ras makunja ndio nani nashindwa kuelewa.
ReplyDeletemdau seba umenena hasa ikiwa debate ya kiinglish ni ishu anakuwaga mnyonge kweli!!
ReplyDelete