Mh. Zitto Kabwe akimnadi mgombea ubunge wa CHADEMA jimbo la Kibaha mjini Bw. Habibu Mchange ambaye ana miaka 24 na ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu Dodoma(UDOM)
Mh. Zitto Kabwe baada ya kuzindua kampeni za wagombea wa CHADEMA
Kwa picha na habari zaidi tembelea libeneke lake:
www.zittokabwe.wordpress.com


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. ZITTO KABWE IS EXACTLY A MIRROR IMAGE OF AUGUSTINE LYTONGA MREMA! CHADEMA WATCH OUT!

    ReplyDelete
  2. kwa nin hawa jamaa wanapenda kuvaa nguo za mgambo au za wanafunzi wa ccp?

    wanaanzisha jeshi au?

    ReplyDelete
  3. waambieni wananchi kuwa kumwadhibu fisadi si kumnyima kura kwa kuacha kupiga kura bali kwa kumpigia mshindani wake.

    ReplyDelete
  4. Kuweni serious CHADEMA! Masihara yenu yanatutia wasiwasi sana!

    ReplyDelete
  5. Mwanafunzi huyu anajitafutia matatizo chuoni, atanyimwa mkopo.

    ReplyDelete
  6. Chadema oyeeh.! Kwanza namackitko makubwa juu ya mchango wa mh. Zitto kabwa ambao haulingan na madaraka aliyonayo ndan ya chama ila chakukera zaidi ni kuwa na micmamo inayoyumba hata kupelekea 2namuona co mpinzan wa kweli."' mgombea nakuomb ucckilze habari za mamluk wanaokwambia eti utakosa mkopo we komaa vijana 2ko nyuma yako na 2nakujua huu mwanaharakati. Zitto badilika kwan hata maandko yanadai bora uwe baridi au moto kuliko kuwa vuguvugu.. Mdau uk.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...