Home
Unlabelled
libeneke la mh. zitto kabwe kunadi wagombea wa CHADEMA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
ZITTO KABWE IS EXACTLY A MIRROR IMAGE OF AUGUSTINE LYTONGA MREMA! CHADEMA WATCH OUT!
ReplyDeletekwa nin hawa jamaa wanapenda kuvaa nguo za mgambo au za wanafunzi wa ccp?
ReplyDeletewanaanzisha jeshi au?
waambieni wananchi kuwa kumwadhibu fisadi si kumnyima kura kwa kuacha kupiga kura bali kwa kumpigia mshindani wake.
ReplyDeleteKuweni serious CHADEMA! Masihara yenu yanatutia wasiwasi sana!
ReplyDeleteMwanafunzi huyu anajitafutia matatizo chuoni, atanyimwa mkopo.
ReplyDeleteChadema oyeeh.! Kwanza namackitko makubwa juu ya mchango wa mh. Zitto kabwa ambao haulingan na madaraka aliyonayo ndan ya chama ila chakukera zaidi ni kuwa na micmamo inayoyumba hata kupelekea 2namuona co mpinzan wa kweli."' mgombea nakuomb ucckilze habari za mamluk wanaokwambia eti utakosa mkopo we komaa vijana 2ko nyuma yako na 2nakujua huu mwanaharakati. Zitto badilika kwan hata maandko yanadai bora uwe baridi au moto kuliko kuwa vuguvugu.. Mdau uk.
ReplyDelete