Mgombea Udiwani katika kata ya Mzimuni,Hassan Yahya Husein akiwa katika Mkutano wa Uzinduzi wa Kata yake ya mzimuni akimwaga sera za jinsi ya kuwaletea maendeleo wakazi wa Kata hiyo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. hv ni kweli kabisa Hussein anagombea kwa chadema minilidhani wanatania na mzee wake... anyaway ndo ukomavu wa kisiasa ila wanafurahisha kwa kweli

    ReplyDelete
  2. njaa ya kila mtu kutaka kuingia ktk siasa itawafikisha pabaya

    ReplyDelete
  3. Huyo ndie haswa chaguo letu sisi maana safari hii hatuchagui chama tunachagua kiongopzi mwenye sifa za kuleta maendeleo na Huyu ndio chaguo letu mimi ninawakilisha wanamzimuni wote.
    Silaa ndie raisi wetu na Hassan Yahaya ndie diwani wetu

    ReplyDelete
  4. Ndugu Michuzi,

    Mbona ukifika kwenye wagombea wa vyama vingine kama Chadema huwa hupigi picha za wananchi ambao huhudhuria mikutano hiyo??

    Au huwa hakuna watu?

    Naomba kuuliza tu.

    Asante,

    ReplyDelete
  5. kama kawaida,Michuzi
    Utadhani huyo mgombea alikuwa anaongea mwenyewe.Michuzi hataki watu waone umati ulivyokuwa mkubwa.Nadhani huwa kinamuuma anapoona umati mkubwa kwenye mikutano ya vyama vingine.Utaona umati wa CCM unaonyeshwa,akija chadema,picha yawekwa ya mgombea tuu!!. Bania comment bt msg delivered!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...