Home
Unlabelled
uzinduzi wa kampeni za chadema kata ya mzimuni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hv ni kweli kabisa Hussein anagombea kwa chadema minilidhani wanatania na mzee wake... anyaway ndo ukomavu wa kisiasa ila wanafurahisha kwa kweli
ReplyDeletenjaa ya kila mtu kutaka kuingia ktk siasa itawafikisha pabaya
ReplyDeleteHuyo ndie haswa chaguo letu sisi maana safari hii hatuchagui chama tunachagua kiongopzi mwenye sifa za kuleta maendeleo na Huyu ndio chaguo letu mimi ninawakilisha wanamzimuni wote.
ReplyDeleteSilaa ndie raisi wetu na Hassan Yahaya ndie diwani wetu
Ndugu Michuzi,
ReplyDeleteMbona ukifika kwenye wagombea wa vyama vingine kama Chadema huwa hupigi picha za wananchi ambao huhudhuria mikutano hiyo??
Au huwa hakuna watu?
Naomba kuuliza tu.
Asante,
kama kawaida,Michuzi
ReplyDeleteUtadhani huyo mgombea alikuwa anaongea mwenyewe.Michuzi hataki watu waone umati ulivyokuwa mkubwa.Nadhani huwa kinamuuma anapoona umati mkubwa kwenye mikutano ya vyama vingine.Utaona umati wa CCM unaonyeshwa,akija chadema,picha yawekwa ya mgombea tuu!!. Bania comment bt msg delivered!!!