

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ankal Michuzi weka wagombea wote wa urais ili wanablog wapige kura ni nani anafaa kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano na wa Zanzibar. Hii itatoa picha wanablog ya jamii wanamaoni gani katika mchakato huu wa uchuguzi.
ReplyDeletehuu ndo wendawazimu wa wapinzani,ccm itatawala milele kwa ujinga wenu.rwakatare umetoka CUF na kuenda chadema wakati cuf bado ina nguvu bukoba,hapo matokeo ni kuzigawa kura za cuf na chadema na ccm kupita kiurahisi sana,uiangalia tarime mbuge wa chadema ameenda cuf,sasa kura za chadema zitaenda nusu kwa cuf na ccm kupita kiurahisi tarime.tatizo ni uroho wa madaraka.
ReplyDeleteUroho wa madaraka uko CUF na CCM kwa sababu kuu mbili mwaka 1995 CHADEMA hawakusimamisha mgombea ili waunge mkono NCCR-MAGEUZI chama kilichokuwa mashuhuri wakati ule mwaka 2000 wakaunga mkono CUF waliosimamisha Professor Lipumba miaka iliyofuata baada ya CHADEMA kuwa mashuhuri bara NCCR na CUF wamekataa kukiunga mkono wakati wakijua chama hicho kwa bara ndio mashuhuri kwa upande wa upinzani kama ilivyo CUF kwa upande wa Zanzibar sasa hapa nani ni mroho wa madaraka? Ukizingatia CHADEMA inaunga mkono CUF Zanzibar?
ReplyDeleteBro, Wifred, bado unatapatapa. Unabadili vyama kuliko Puff Diddy anavyobadili magari...ha ha ha .....
ReplyDeleteMhhh... nina alama ya kuuliza kubwa sana kuhusu Lwakatare na Marando...au labda ni mimi peke yangu ambaye nina hofu na hawa jamaa wawili?
ReplyDeleteMi namsapoti Dk Gertrude Lwakatare SI huyu Wilfred.
ReplyDeleteMcahngiaji wa 3 wacha uongo. chadema kimeshatamka kuwa kinapinga muafaka baina ya wazanzibari kati ya ccm na cuf, sasa utasemaji eti chadema kinaunga mkono cuf zenji.
ReplyDelete