Mdau Monica akiwa amepozi nje ya Mjengo wa Chuo kikuu cha Tsinghua University,China
Mdau Oscar Tefurukwa na Mdau Monica Bhoke Irimani ambao ni Wahitimu Shahada ya pili ya Kimataifa ya Uongozi katika Chuo kikuu cha Tsinghua University,China.wakiwa katika pozi la picha huku wakifurahia kuhitimu kwao.
Mdau Oscar Tefurukwa akishikana mikono na wanafunzi wanaobaki chuoni hapo kuliendeleza Libeneke la kula Nondozz

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. big up 2 monica. huyo dada kazaliwa sesel,kasoma sesel 1 of her parents ni msesel, yuko sponsered na serikali ya sesel lakini anapenda kutambuliwa kama m-tz. saf sana

    ReplyDelete
  2. hongereni saaaaaana wasomi wetu, kazi na dawa

    ReplyDelete
  3. Anon wa juu kabisa;
    Kha...hebu tuambie sesel iko wapi?, au nayo inapakana na Jiografia?

    Sesel, sesel, sesel....msesel? Cjapata isikia sesel.

    ReplyDelete
  4. Great job.. Management degree is good. Public policy degree is great.
    God be with u.

    ReplyDelete
  5. Nahitaji contact details za huyo dada alievaa kitenge na koti.

    ReplyDelete
  6. Hongera Bro, Mungu akutangulie kwa mengine mema. Perez

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...