UTI WA NIGERIA SASA HIVI AMESHINDA DOLA LAKI 2 KUTOKA KATIKA BIG BROTHER AFRICA ALL STARS BAADA YA KUMSHINDA MUNYA WA ZIMBABWE AMBAYE NDIYE ALIKUWA WA MWISHO KUTOLEWA KATIKA MJENGO HUO. PICHA NA HABARI ZAIDI ZAJA...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Asante kwa kutupatia habari ikiwa bado moto moto...lakini ni dola laki 2 au dola milioni 2?

    ReplyDelete
  2. dola laki2 muwe mnasomaga hbari sio kusbiri za vijiweni

    ReplyDelete
  3. Hakustahili. Kuna uchakachuaji, PERIOD.

    ReplyDelete
  4. i cant blv Abeg abeg here we come again

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...