Home
Unlabelled
dr. shein anguruma kaskazini unguja leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Asante Michuzi kwa picha za mgombea urais kupitia CCM zanzibar lakini hiyo picha ya pili ni watu waliofikishwa hapo kuengeza idadi kwani mimi kwetu ni kibeni baba na mama bibi yangu mzalia mama wazazi wake wametokea Mkwajuni na ukoo wetu umarufu ni kwa shekhkinyamoto mumgu amrahamu hakuna watu wenye tamaduni kama hiyo kibeni hilo wazee wa hapo hawalikubali hata siku moja lifanyike kwa mwanamke anaetokana na chimbuko la hapo hapa sisemi kwa ubaguzi lakini hata sura zinakupa picha halisi
ReplyDeleteMkuu Michuzi.
ReplyDeletenakuona unavyojenga na kupromoti DEMOKRASIA kwa kuamua kuhabarisha umma upande mmoja wa shilingi.
Tusiogope changamoto tuwe mstari wa mbele kuonesha non bias.
kaka michuzi tumechoka na chama kimoja try to be fair
ReplyDeleteMONOPATIZM ATITUDES.
ReplyDeleteKABLOG KA SISIEM.
KUWA FEA KWA VYAMA VINGINE.
SASA NDIO NIFAHAMU KWA NINI YANGA WAKIPIGANA BAKORA WANAENDA ZENJI KUANGUKIA CCM NI CHAMA CHA WAZALENDO AKA WANZANZIBARA NA WAPINZANI WENGI NGOZI ZA KUPINDUA NA NDIO SIMBA YANGA OYEEEEEEEEEEEEE
ReplyDeleteKAKA MICHU AMEKUWA AKIZUNGUKA NA TIMU YA CCM HIVYO NI RAHISI KUPATA HABARI NA KUZIPOST. ALIWAHI KUANDIKA WAKUSANYAJI WENGINE WA HABARI ZA VYAMA VINGINE WAZILETE NA AMEPOSTI MARA KIBAO, AU MNAOLALAMIKA NI WAGENI KTK HII BLOG? KARIBUNI
ReplyDelete