Mchuano mkali kwa upande wa walemavu ukiendelea ndani ya manispaa ya Tanga.
Washiriki wa mbio za kilometre 138 maarufu kama Race wakianza kuondoka katika viwanja vya Mkwakwani Tanga.
Washiriki wa mbio za Kilometre 70 kwa kutumia baiskeli za kawaida wakijiandaa kuondoka katika viwanja vya Mkwakwani Tanga.
Mgeni rasmi Kaimu Makamu wa mkuu wa mkoa wa Tanga,Mh. Kisheru akikabidhi zawadi kwa mshindi wa pili wa baiskeri za kawaida ndugu Enzi Juma.
Baadhi ya washiriki na wageni wakipumzika baada ya mashindano hayo wakiwa wanasubiri mgeni rasmi atoe zawadi kwa washindi katika viwanja vya Tangamano Tanga.

Jamani wakati mwengine watanzania mnatushangaza sana, yaani huyu jamaa hapo anaeshiriki mbio za baskeli amevaa soksi bila ya viatu! hiii ni mpya kweli kweli.
ReplyDeleteKingereza tushindwe na kiswahili pia jamani? Michuzi vipi aloo hii blog inaangaliwa kote jitahidi kupost vitu vilivyoandikwa kwa ufasaha, hao wanaukutumia inabidi wawe makini na kazi zao. Baiskeri???
ReplyDelete