Marehemu Syllesaid Mziray

Habari Ndg Michuzi,

Ratiba ya kuaga mwili wa marehemu Syllersaid Mziray, "Super Coach" kwa ajili ya mazishi yake yanayotarajiwa kufanyika kesho kwenye makaburi ya Kinondoni,jijini Dar.

Taratibu hizi zitaanzia Makao Makuu ya Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania, Kinondoni Biafra kuanzia saa 4:00 asubuhi.

Tutashukuru sana.

4.00 – 05.00 Kuwasili Waombolezaji

05.00 – 5.30 Viongozi, Wageni Waalikwa wa CKHT kuchukua nafasi zao.

05.30 – 6.00 Nyimbo za Maombolezo.

06.00 – 07.00 Kuwasili Mwili na Ndugu wa Marehemu.

07.00 – 07.15 Wimbo wa CKHT kupigwa.

07.15 -08.15 Misa/Sala.

08.15 – 08.20 Maelezo ya Wizara ya Michezo, Mwakilishi wa Wizara.

08.20 – 08.25 Maelezo ya TFF, Mwakilishi wa TFF.

08.25 – 08.30 Maelezo ya Simba Sport Club , Mwakilishi wa Simba.

08.30 – 08.25 Wasifu wa Marehemu CKHT .

08.35 – 08.40 Maelezo ya mwisho ya MMC VC.

08.40 – 08.45 Shukrani ya Familia,Mhusika wa Familia,

08.45 – 09.45 Kuaga mwili wa Marehemu.

10.00 – 10.05 Wimbo wa Chuo.

10.05 Kuelekea Makaburini Kinondoni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Dah Tumepoteza one the best coach in our country...may almighty God rest him in piece.

    Rodrick Mwambene--Mdau wa michezo

    ReplyDelete
  2. R.I.P Ndugu yangu Mziray/ Dekula in Sweden

    ReplyDelete
  3. Mungu ailaze pema roho ya marehem peponi. tutakukumbuka mziray kama mpenda maendeleo ya michezo uliokuwa muwazi na hukupindisha ukweli. msimamo wako ndio umekujengea heshima katika soka la tanzania.Makocha wazelendo tumuenzi kwa kutokuwa wanafiki kwenye mipango ya maendeleo ya soka letu.

    ReplyDelete
  4. Makocha na wanamichezo tumuenzi Mziray kwa kuwa wakweli katika kile tunachoamini na si kumpendezesha mtu kwa maslahi binafsi.

    mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...