Home
Unlabelled
SIKU YA FIMBO NYEUPE DUNIANI: MAISHA BILA KUONA YANAWEZEKANA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
MAajabu ya mungu ni makubwa sana.
ReplyDeleteMdau paris
Hii ni changamoto sana kwa watu wote...
ReplyDeleteUmenikumbusha Ami yangu Maalim Kali, Mwenyeezi Mungu amrehemu, Amin.
ReplyDeleteYeye alikuwa mlemavu asiyeona lakini alikuwa anafanya kazi zake vizuri na alikuwa fundi mzuri wa redio.
Ni Kweli maisha bila kuona yanawezekana!
Michu,
ReplyDeleteTypo zimezidi. Tafuta editor.
Ingebidi wanaume ndio wapewe kutokuona ili wapunguze kucheat
ReplyDeleteAstaghafirulahi. We anony wa 02:38:00 Unamwogopa Mungu kweli? Umechanganyikiwa au frustrations???
ReplyDeleteHata wewe kuna unaowakosea, unajua laana ngapi wamezitoa kwako na ingekuwa hivyo kila mwanaadam unachomwombea mwenzio anakipata leo hii kwa choyo za kibinadamu si ingekuwa balaa duniani?
Tena unafikiri mtu asipoona ndio hawezi kuwa na tamaa kama ni tabia yake??
Muombe mwenyezi Mungu akusamehe kwa hilo ulilolitamka. Unafahamu msemo usemao maneno yanaumba? Na unafahamu kuna imani kwamba unapotoa neno baya linazunguka duniani ili kumfikia aliyelengwa na likimkosa linarudi lilipotoka??
Ehh mwenyezi Mungu tupe moyo wa uvumilivu. Amina.
Mama Fatu.
Ni kweli Walemavu nao wanaweza. Binafsi nimepata bahati ya Kufundishwa na Mlemavu huyo mnayemwona hapo juu Mwl.Simon ni mwalimu mzuri sana wa History One ya A-level. Alikuwa anatufundisha vizuri sana na somo lake tukiaulu sana pale Mkwawa High School enzi hizo. Kwa kweli serikali na jamii nzima tunatakiwa kuwaangalia kwa jicho la ukaribu,kuwasaidia na kuwawezesha hasa kielimu na mtaji
ReplyDeleteIngebidi wanaume ndio wapewe kutokuona ili wapunguze kucheat
ReplyDelete_____________________________________
Nilicheka na hii point yako ila najua unakotokea, katika usichana wangu nilitapeliwa sana na wanaume mpaka niliomba ingekuwa hivyo ila namshukuru mungu kanipa mume ambae katulizana na kuridhika na mie kwa jinsi nilivyo.
point yangu ni kwamba kama hakufai achana nae endelea kutafuta mwingine, usikae tu ukaomba mabaya shugulika upate wako.
stay blessed my dear
duh lakiniutafikiri wanaona kwa mbali walivoziinamia hizo type na computer! By the way hy alosema wanaume wapofuliwe hiyo sio dawa kwa kuwa HATA GIZANI MTU HAKOSEI ANAPELEKA NDIPO KISU KWENYE ALA USHIKE ADABU YAKO TENA.
ReplyDelete