Walimu wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) wakifanya onesho katika mkutano wa kampeni wa JK mjini Bagamoyo

Waalimu na wanafunzi wa TaSUBa kabla ya kufanya onesho hilo

Wana TaSUBa baada ya onesho lao lililofana sana
Walimu wa TaSUBa wakiwa na Bw. Tumaini (wa tatu shoto) katibu mkuu wa kundi la sanaa la ToT ambaye pia ni mmoja wa wanafunzi walionufaika kwa mafunzo chuoni hapo



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Wakuu,

    Hapo kwenye picha ya classmate wangu Gasper Tumaini nimemtambua Mwl Elizabeth Buriani tu.

    Cha zaidi, ni kwamba wiki hii Chuo Cha Sanaa Bagamoyo amefariki Master Melodic Drummer Mwl Basil Mbata. Naomba tumkumbuke na kumuenzi kwa kutuma picha na video zake mitandaoni. Naomba tufanye hivyo tuweze kuona na kuonesha kipaji na maana ya melodic drummer ili kwamba wapiga ngoma na wapenzi wa muziki tupate mafundisho na ari/inspiration!? ya kuwa kama Marehemu Mwl Basil Mbata.

    Sina hakika kama Tanzania inaweza kumpata kirahisi melodic drummer wa kariba ya Marehemu Mwl Basil Mbata. Mwenyezi Mungu Amrehemu Marehemu Mwl Mbata kwa Amani. Amen.

    Ni mimi maridhiya,

    Fidelis M Tungaraza.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...