Big Brother Africa All Stars usiku huu huko Sauzi
Home
Unlabelled
Uti wa Nigeria ashinda Big Brother Africa All stars
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Tunamshukuru aliyeturekodia ila awe makini next time asijirokodi na yeye manake tumesikia maongezi yao yote akiwa hapo mbele ya runinga mara mtoto shule....mara chumvi.....n.k
ReplyDeleteSijaridhishwa kwa kweli na matokeo ya Big Brothers this time kabisa.The guy hadiserve kabisa kwanza ni violent alikuwa anajicontrol sana,gossiper mkubwa,much know.Vote nyingi ni wanagirea tu waliopiga maana they are scattered everywhere.Big Brother aliangalie hili otherwise Nigeria watawin kila siku.We mtu unafiwa na baba yako huendi kumzika kama hakuwa anajiaminisha atawin ni nini?
ReplyDeleteAND THAT MAKES RICHARD THE WINNER OF ALL TIMES OF TZ.HAMNA KAMA RICHARD TUKUBALI BAJAMENI.
ReplyDeletebinti mgeni
Michuzi mbona hii video umeweka kuna mwanamke at the background anaongea na simu....private conversation!!!!!
ReplyDeleteWahusika kadhaa katika uratibu mzima wa shughuli ni wanigeria tutegemee nini zaidi? mwisho wa so real, he is a good guy, cool, patient na hajui mambo ya gossiping. Kuna uonevu mkubwa BBA ndio maana waganda wameamua kumchangia mwakilishi wao kiasi cha pesa kama hicho cha ushindi USD 200,000.
ReplyDeleteMWISHO,KARIBU NYUMBANI, WATANZANIA TUNATAMBUA UWAKILISHI WAKO.
J'4
Yule dada ndio kamuharibia Mwisho wetu,kama hajaanza naye mambo yalikuwa safi kabisa kila mtu alikuwa Mwisho Mwisho lakini baada ya kurubuniwa na yule dada mamabo yote yakawa ndivyo sivyo,na kufikia kipindi cha kumvalisha pete ndio alijimaliza kabisa sababu kila mtu alijua anafanya hivyo kwa ajili ya vote.
ReplyDeleteKuhusu kumpigia kura Munya ni sababu ya ushindani mkubwa uliokuwepo kati ya Uti na Munya,by the way wanigeria wamepiga kura mara mbili za NIgeria na other countries wajue kabisa wanigeria wamejaa kila nchi kwa hivyo wa other countries lazima apate Uti,