Mgombea Ubunge kwa chama cha CHADEMA,Jimbo la Kigoma Kaskazini,Mh Zitto Kabwe akiwahutubia wakazi wa Kata ya Nyamatare Musoma mjini jana ikiwa ni sehemu yake ya kuwanadi wagombea wa chama chake,hapa alikuwa ndani ya jimbo la Musoma Mjini ambapo Vincent Nyerere anagombea jimbo hilo.
Mgombea Ubunge jimbo la Musoma Mjini kwa tiketi ya chama cha CHADEMA,Bw.Vincent Nyerere akijinadi kwa wananchi jana jioni Katika Kata ya Nyamatare,jimbo la Musoma Mjini.
Mgombea Ubunge kwa chama cha CHADEMA,Jimbo la Kigoma Kaskazini,Mh Zitto Kabwe akimnadi Mgombea Ubunge katika Kata ya Nyamatare jimbo la Musoma Mjini kwa tiketi ya chama cha CHADEMA,Bw.Vincent Nyerere akijinadi kwa wananchi jana jioni.

kwa picha zaidi bofya hiyo link hapo chini.

http://zittokabwe.wordpress.com/

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. SISIMU presha inapanda presha inashuka. Hongera Zitto tunataka mabadiliko. SHinyanga mjini lini kuongeza nguvu?

    Mdau mpenda mabadiliko ya kweli

    ReplyDelete
  2. Zitto vaa magwanda acha ubishoo. Samahani Mheshimiwa ila CHADEMA tuna sare. Ni hayo magwanda ya khaki.

    ReplyDelete
  3. Hongera CHA-DE-MA cham la wazawa.
    Kigoma kaskazini
    Arusha
    Ubungo
    Musoma
    Mbeya
    Tunaelekea Dodoma kwenye mjengo kutetea haki.

    ReplyDelete
  4. huyu Vincent Nyerere sijamsikia katika orodha ya watoto wa kambarage, hebu nitaarifuni! ni mtoto wa nje ya ndoa au ameokota jina ili apate ubunge kirahisi?

    ReplyDelete
  5. Anon wa kwanza, CCM hatuna pressure kabisa; pressure iko chadema kwa sababu huo ukali wenu chadema ni ukali wa soda na ndiyo maana mbio zenu zitaishia ukutani 31/10/2010. ccm4life.

    ReplyDelete
  6. Kwa taarifa tu Vincent si mtoto wa Mwalimu; watoto wa Baba wa Taifa wako katika kampeni ya CCM: hasa Makongoro, Madaraka na Rosemary. Machegeson.

    ReplyDelete
  7. Hongera sana mh. Kabwe, wewe ni mwanamapinduzi wakweli, wewe ni mfano wa kuigwa na vijana wote wa tanzania. mwanza unakuja lini kuongeza nguvu kwa Mh. Wenje? tunakusubiri uje kuongeza chachu ya ushindi wa kishindo jimbo la nyamagana.

    Mimi kijana mwenzako mpenda mabadiliko.
    Msangi.

    ReplyDelete
  8. Zedi si uje A town tunakuzimii sana

    ReplyDelete
  9. Arusha ni wachaga tu ndio wako chadema, wengine wooooteeee tuko CCM.

    ReplyDelete
  10. Vincent Nyerere ni mtoto wa Josephat Kiboko, mdogo wa Julius Nyerere!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...