
DIAMOND akifanya makamuzi yake ya mwisho UK kwenye jiji la Coventry Katika nyanda za Midlands. Shoo hiyo ambayo ni part ya Urban Tour iloyofanyika katika miji tofauti ya UK , Urban Tour imeandaliwa kusaidia vita dhidi ya Malaria. Urban Tour iliandaliwa na kampuni inayo milikiwa na Baraka Baraka, Frank Eyenbe na Nocha Sebe ambao ni vijana Wakitanzania wishio UK inajulikana kama URBAN PULSE CREATIVE MEDIA..

Kweli majuu kutamu diamond kapendeza kweli hapa anafanaa na chris brown!
ReplyDeletemie sisemi mengi.
ReplyDelete