Kampuni ya Unique Entertainment imeandaa shindano la uanamitindo linalojulikana kama Giraffe Unique Model 2010 litakalofanyika Desemba 24 mwaka huu katika hoteli ya Giraffe Ocean View.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi Mkuu wa Unique Entertainment, Methusaleh Magesse alisema kuwa shindano hilo litajumuisha washiriki ishirini.
Alisema kuwa washiriki hao watapatikana katika mchujo utakaofanyika Novemba 20 mwaka huu katika hoteli ya Giraffe Ocean View.
Aliwataja majaji watakaohusika katika mchujo huo kuwa ni mbunifu maarufu wa mavazi nchini Ally Remptula, mwanamitindo Victoria Martin, Miss Tanzania 2009, Miriam Gerald na mcheza filamu maarufu Steven Kanumba.
Alivitaja vigezo vitakavyotumiaka katika shindano hilo kuwa ni urefu wa futi 5’ 8’-6’, hips 35-37, kiuno 26-29 na kifua 32-35.
Vigezo vingine ni muonekano wa kiuanamitindo, kijiamini na umri 18-25, tabia njema na minato.
Aliwataka wasichana wenye sifa hizo kujitokeza Giraffe Hoteli Novemba 20 kwa ajili ya mchujo kupata washiriki 20 watakaoingia kambini katika hoteli hiyo Desemba mwaka huu.

Michu,
ReplyDeleteTuletee habari za uchaguzi. Haya mengine yasubiri. Hayana umuhimu kama uchaguzi wa nchi yetu.
Nasikia Sugu kishatangazwa mshindi Mbeya Mjini.
Lete matokeo ya Uchaguzi achana na upumbavu huu wa nini??
ReplyDeleteNbeya mjini hoyeeeeeeeeee....smart people do the right things
ReplyDeleteAnkal huoni kama hii habari inachafua hali ya hewa? Akatangazie kwenye magazeti ya urembo. Watu tuko serious na issue nyeti unatuwekea urembo?
ReplyDelete