Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Jamaa anatoa burudani lakini hataweza kumshinda David au Rachel wa Uganda

    Kutolewa kwa Leah wa Tanzania bado haingii akilini kwani washiriki kama Gaelle wa Rwanda wanaendelea kudunda wakati anaonekana kabisa hana sauti.

    ReplyDelete
  2. Kama ikitokea akanusurika kutoka, nashauri watu wa music industry wamsaidie huyu bwana kwa ushauri kuanzia namna ya kuchagua nyimbo za kuperform na jinsi ya kuperform jukwaani hasa hasa watu wa BSS kuweni karibu nae kwa kuwa naamini hapo alipo anawakilisha nchi. Sikuvutiwa sana na performance yake ya wiki iliyopita (Shida)alitumia nguvu kupita nyingi kiasi cha kulemewa na pumzi, alijidondosha bila sababu ya msingi, aliuchakachua wimbo wenyewe kiasi cha kupoteza ile ladha yake ambayo watu wengi wa Afrika mashariki na kati tunaijua, hivyo basi anpaswa kuwa makini sana hasa katika hatua hii aliyofikia.

    ReplyDelete
  3. Jmani mbona tukituma inasema code iliyotumika sio sahihi??????????????????? HELP!!!!!!!

    ReplyDelete
  4. Tujitahidi kumpigia kura ili tuone labda atafika japo namba tatu. Kuwashinda steven na David si rahisi saana. Leah alikuwa tishio kulika visura wote walioshiriki mwaka huu tusker project. Naona wamemkatishia mapema na nimesikitishwa saana.

    ReplyDelete
  5. LEAH Alivyotoka hata mimi niliumia sana...kitu ambacho sikukielewa kabisa ile faculty kukataa kusave mtu yeyote eti kwa sababu wanataka viwango...kweli kweli ilikuwa sawa,,,ikiwa watu hao hao walikisave kile kibinti cha rwanda ambacho hakiwezi kuimba hata pambio??? mimi niliudhika sana kwa hilo.
    au kuna vigezo vingine wanavyoviangalia? personality may be.. coz leah anaonekana ni mtu mwenye mamood mood sana. ameboa waalimu nini? ila sikubali kwamba walimu hawaoni kipaji cha Leah

    ReplyDelete
  6. Msechu anaimba vizuri isipokuwa ana sifa zisizokuwa na msingi. Na inapaswa akumbuke kuwa kuna waalimu na judges vilevile. comment yake ya jumapili aliposema "as long as my funs are happpy thats enough" Sikuipenda, funs wanaweza kuwa happy kwa sababu ya vituko vyako lakini sio uimbaji wako. so dogo tutakupigia but try to be serious.

    ReplyDelete
  7. naomba wadau wanapotuma wasiache nafasi baada ya kuandika neno TUSKER NAMAANISHA WAANDIKE TUSKER9 NA SIO TUSKER 9 naomba kaka michuzi saidia hilo jamani tumsave Msechu

    ReplyDelete
  8. unajua comment karibu zote za watz zinapwaya.... pengine hazina mvuto ni kwasababu ya kiingereza chetu pia. wanastruggle sana kupata sentensi.na hili ni tatizp la asilimia kubwa ya sisi watz... sijui tufanyeje tujue kiingereza..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...