Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. kama mwana saikolojia naweza kusema j.k alikuwa na stress sana hapo na wasiwasi,Mungu ni mwema atakuvukisha tu baba,nimesoma saikologia na mambo ya criminal investigation kuanzia body language yake na hata anavojibu maswali inaonyesha anaogopa sana na anafikiria yanayokuja,ila usihofo jk tupo nyuma yako.

    ReplyDelete
  2. anon wa kwanza kweli alikuwa na stress hadi najisiki avibaya lakini MUNGU atamsaidia na kweli tuko nyuma yake na atashinda tuu kikwete mtu wa watu achana na hao wengine wanataka kutumaliza wananchi na ahadi zao za uongo CCM HOYEEEE

    ReplyDelete
  3. Tanzania ni nchi moja ya kujiunia sana,Hebu angalia Rais yupo kenye kijiji chake anapia kura,amesongwa na umati wa wananchi wa hali ya chini kabisa,lakini hakuna aliye mfanyia fujo,nchi za watani zetu asinge thibutu hata kuongea,ilikuwa ni kupiga kura na kurudi kweenye gari.....motoo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...