Home
Unlabelled
JK baada ya kupiga kura kijijini kwake Msoga
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kama mwana saikolojia naweza kusema j.k alikuwa na stress sana hapo na wasiwasi,Mungu ni mwema atakuvukisha tu baba,nimesoma saikologia na mambo ya criminal investigation kuanzia body language yake na hata anavojibu maswali inaonyesha anaogopa sana na anafikiria yanayokuja,ila usihofo jk tupo nyuma yako.
ReplyDeleteanon wa kwanza kweli alikuwa na stress hadi najisiki avibaya lakini MUNGU atamsaidia na kweli tuko nyuma yake na atashinda tuu kikwete mtu wa watu achana na hao wengine wanataka kutumaliza wananchi na ahadi zao za uongo CCM HOYEEEE
ReplyDeleteTanzania ni nchi moja ya kujiunia sana,Hebu angalia Rais yupo kenye kijiji chake anapia kura,amesongwa na umati wa wananchi wa hali ya chini kabisa,lakini hakuna aliye mfanyia fujo,nchi za watani zetu asinge thibutu hata kuongea,ilikuwa ni kupiga kura na kurudi kweenye gari.....motoo
ReplyDelete