Home
Unlabelled
JK na Mrema wasakata rhumba dodoma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hapo nyimbo gani ilikuwa inapigwa ? "mkuki" nini?
ReplyDeleteSiyo "nyimbo" wewe, ni wimbo.
ReplyDeleteHii safi sana.Tuleteeni na video yake
ReplyDeleteMrema ni mwanasiasa mpevu asiye na siasa za chuki wala uhasama. Anaangalia utaifa na si ubinafsi kama baadhi ya wanasiasa wa upinzani wafanyavyo. Hongera mzee wa kiraracha, mungu yuko nawe.
ReplyDeletesirumba , Raisi alikuwa anacheza tarabu !! LOL
ReplyDeleteWimbo wa alamba alamba alamba tena
ReplyDeleteSafi sana ila anapiga makofi sijui.
URafiki wa mashaka.
ReplyDeletewape wape vidonge vyao wakimeza wakitema shauri yao
ReplyDeleteWatu wanasema mrema kazeeka wakati anakata Rhumba namna hiyo...Endelea kutete haki za wananchi mzee wa kiraracha...
ReplyDeleteWakati ukuta na kila jambo na wakati wake. Mzee Yusuf na tungo zake na staili yake anaburudisha kwenye dhifa ya Rais na Wabunge.
ReplyDeleteHaya ni ya wakati huu. Wakati ule katika dhifa kama hii wangekuwa JKT na Mzee Issa Matona, Bia Hassan, Ali Mtoto Sefu, Elizabeth Sijira, Patricia Hilary na wengineo. Au Captain John Komba na kundi zima la JWTZ Cultural Troupe. Au Mzee Ramadhani Mwinamila na kikundi chake cha Hiari ya Moyo. Na Police, JWTZ, JKT au Magereza Brass Band.
Natamani kuona jinsi waheshimiwa walivyokuwa wanasakata Mipasho ya Mzee Yusuf. Sijui na wao walikuwa wanasakata kama wanavyosakata mashabiki wa kule Lango la Jiji?
Mrema kanifurahisha sana maana inaonyesha hana chuki au hata kama anayo basi anachofanya hiki ni kitendo cha busara sana. Ijapokuwa mimi ni shabiki wa CCM lakini kwa roho yake hiyo ya kispoti ninamuombe dua Rais Kikwete ampe uwongozi katika serikali yake kwa sababu uwezo wa kulifanya hilo kisheria anao. Brema big up.
ReplyDeleteJe wabunge wa CHADEMA walisusia mnuso pia? I'm just curious...
ReplyDelete