Mwenyekiti wa CCM Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi mjini Dodoma leo mchana.Kutoka kushoto ni wajumbe wa kamati hiyo Rais Mstaafu awamu ya pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu SMZ Dk. Amani Abeid Karume, Katibu Mkuu CCM Yusuf Makamba, Makamu wa CCM Bara, Mh. Pius Msekwa na Rais wa Zanzibar Dk. .Ali Mohamed Shein. Spika wa Bunge la jamhuri ya Muungano aliyemaliza muda wake Samuel Sitta akimpongeza Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Pandu Ameir Kificho kwa kuchaguliwa tena kuendelea na wadhifa huo muda mfupi kabla ya kuanza kwa kikao cha Kamati kuu ya CCM mjini Dodoma
Spika aliyemaliza muda wake Samuel Sitta akisalimiana na Mbunge wa Bariadi Magharibi Andrew Chenge muda mfupi kabla ya kuanza kwa kikao cha Kamati kuu ya CCM mjini Dodoma. Picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu







Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hongera 6, umeliongoza Bunge lililopita kwa kasi na viwango.Historia haitakusahau

    ReplyDelete
  2. urafiki wa mashaka

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...