Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. DAMMIT LIKE THIS LOL

    ReplyDelete
  2. siku hizi kwenda ulaya ni sawa na kwenda kariakoo na kurudi

    ReplyDelete
  3. duh kaazi kweli kweli!

    ReplyDelete
  4. Kwani kwenda Kariakoo ni big deal?...Huo ndio ushamba mlio nao. Kwenda nchi yeyote sio big deal kabisa. Nawshangaa sana watu wakiona mtu kaenda ulaya au katoka ulaya basi wanaona kaukakata au sijui nini. Kila nikienda nyumbani watu wanakuona sijui weew nani. na kukuuliza bado unajua kiswahili...Mimi naishi huku miaka zaidi ya 20 na sioni kuna tofauti ya nyumbani...Amkeni nyie mnaoona vya nje ni bora kuliko vyenu...Tutaamka lini?...Too sad

    ReplyDelete
  5. Ni kweli ukienda nyumbani eti watu wanakuzunguka kukuliza kama unajua Kiswahili ama Kichaga. Wanakuwa wanashangaa sana wakiona unaongea kichaga. Ni kweli watanzania inabidi mnyooke akili sio mnywele tu.

    Mdau USA

    ReplyDelete
  6. I real like this. Kingwendu kuja kupaform majuu ni big step. We need change like this, ukitoka huko kama inawezekana njoo na UK. But kabla ya kufanya perfomance zako tafuta wataalamu wa kuku-edit because huku comedy sio tu kuongea juu juu unatakiwa kutoa msg sensible as well. Karibu sana I like this

    ReplyDelete
  7. Suala sio kwenda Ulaya ni deal. Bali msanii akifikia hatua ya kuweza kwenda kufanya maonesho nchi nyingine hasa ughaibuni hiyo ni kupiga hatua na pia ni kutangaza sanaa yetu na utamaduni wetu. Wewe uliekaa huko miaka 20 umeleta faida gani kwa nchi zaidi ya wengi wetu kujineemesha binafsi na familia zetu? Mimi nilikaa miaka 28 toka mwaka 1972 wakati bado watu hawajaamka lakini nimerudi nyumbani na kufungua viwanda, mashule na vyuo kusaidia Taifa

    ReplyDelete
  8. si unaona watanzania walivyokuwa nyuma ktk kuwapa shavu wasanii wetu wa bongo,hapa waliomwalika Kingwendu mapepe ni WAKENYA sio wabongo wa Ujerumani,na watoa maoni wengi hapa hawana cha kumpa shafu KINGWENDU !
    hata hiyvo kutakuwa na mjadala mrefu uko frankfurt baadhi ya watanzania watasherekea ushindi wa wabunge wa vyama vya upinzani walioshinda

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...