BI.SAFINA NDEMBO WA PSPF ANAPENDA KUWAKARIBISHA NDUGU NA JAMAA KATIKA KUMBUKUMBU YA KISOMO CHA BABA YAKE MPENDWA LT COL.HAMIM NDEMBO YUMA ALIYETIMIZA MWAKA MMOJA TANGU AFARIKI TAREHE 08/11/09.
KUMBUKUMBU YA MAREHEMU ITASOMWA NYUMBANI KWA MAREHEMU KINONDONI 'B' JUMAMOSI HII TAREHE 07/11/10 SAA SABA MCHANA.
UTAKUMBUKWA DAIMA NA MKEO MPENDWA BI.RUKIA, WANAO PAMOJA NA WAJUKUU WALIOKO HAPA TANZANIA NA CANADA .
NDUGU NA JAMAA NA MARAFIKI MNAKARIBISHWA
KATIKA KUMBUKUMBU NA KISOMO HIKI
Yeah!!! Kabusa Rafiki yangu.........Mungu akujalie imani na uwezo kupokea hili hasa katika wakati huu wa kisomo cha kumbukumbu!!!!!!!
ReplyDelete