Home
Unlabelled
libeneke la mgao wa umeme jijini dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hivi hiziz taa za barabarani haziwezi kufanywa ziwe zinatumia solar wakati umeme ukikatika na wakati wa mchana?
ReplyDeleteCCM, CCM, CCM, CCM
ReplyDeletehii nchi utafikiri haina mwenyewe, mungu ibariki tanzania lakini usiwabariki watu wake.
ReplyDeletewakati hizi zina fanya kazi utaona
ReplyDeletematarafiki wana uongoza.wakati zikizima na hava matarafiki wana potea
Mdau hapo juu taa za solar mbona zipo siku nyingi bongo. Ila tatizo kasi ya kuzisambaza katika makutano mbali mbali ya barabara ni ndogo. Mfano mzuri ni mataa ya TAZARA ambayo yanatumia nguvu za jua. Yanafanya kazi kwa ufanisi mpaka raha yani.
ReplyDeletekama hawaezi kazi basi watangaze watu wajitoleee kuweka solar power ili taa zifanye kazi.
ReplyDeletewao hawajali yote si wanasafishiwa barabara. wanapita udhaani wamebakia wao kwenye dunia hii.
waliokuwa madarakani kazi kuweka hela mifukoni na kuchoma kiti moto na makalio yao..hamna cha maana wanachokifanya..pumbaf..! Mungu nibariki nisirudi Tanzania.. Shenzi typ.......!
ReplyDeleteTaa za traffic za solar zipo -- naconfirm kwa mtoa maoni wa kwanza. Nimeziona sehemu kadhaa hapa Marekani (Texas) -- zinatumika wakati barabara zianjengwa hasa kwenye intersection. Nilinote jina la kampuni kwenye mabango niliyonaona --- http://www.horizonsignal.com/ ---. Goodluck kumwelewesha mhusika yeyote Dar kwamba taa za solar ndo zinafaa hapo kwetu
ReplyDeleteCha ajabu, utakuta taa za barabara na hata saa za mitaani huwa zinatumia nyuzi za jua katika sehemu nyingi duniani. Taa kama hizi pia ni rahisi na hazihitaji matengenezo makubwa. India, China na Brazil wanatengeneza na kutumia na ni rahisi. Sisi tuna wasomi wa kila aina lakini hatujaaliwa na akili ya kujiendeleza, tunasubiri kupewa bure. Hata siku moja sijaamka na kujuta kuondoka Tanzania.
ReplyDeleteHuu ujinga kweli. Vekesheni yangu imeshaharibika. Inabidi nipunguze siku sasa ya kukaa Tanzania. Inaudhi kweli. Tunapata wiki mbili kupumzika nyumbani Krismasi na wanataka tukae katika giza halafu wanatumia fedha nje kuwaalika watalii waje kutembea katika giza. Mtakaa wenyewe huko.
ReplyDeleteHivi ze gavamenti inajua watu wangapi wanaishia kukwanguana na magari yao kwasababu tu kisa Tanesco? ajali kubwa barabarani na mahospitalini watu kukosa umeme.
ReplyDeleteacha viwanda!
halafu fununu nikuwa hawa jamaa zake uncle michuzi nasikia wamekalia rasilimali umeme kule mtwara, umeme wa miaka kede ijayo? michuzi washauri basi siyo kuwapiga picha tu, halafu ubane na hii coment kama kawaida yako
pyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
Huu ujinga kweli. Vekesheni yangu imeshaharibika. Inabidi nipunguze siku sasa ya kukaa Tanzania. Inaudhi kweli. Tunapata wiki mbili kupumzika nyumbani Krismasi na wanataka tukae katika giza halafu wanatumia fedha nje kuwaalika watalii waje kutembea katika giza. Mtakaa wenyewe huko.
ReplyDeleteFri Nov 26, 08:39:00 AM
WEWE KWENU NI KWENU TU, NJOO MBONA MAMILIONI YA WATANZANIA TUPO NA MGAO WETU WA UMEME NA TUNAISHI. NJOO UONGEZE NGUVU YA KUIBOMOA TANESCO
Michuzi inaeleweka wewe ni mpambe wa CCM, nimetoa maoni ya kuichambua serikali na JK kuhusu uzembe unaoendelezwa msimu huu wa pili, umebania.
ReplyDeleteHata ukibana tunazo sehemu nyingi za kutoa maoni yetu, ukweli ni kwamba walimpa JK kura zao, sasa wanapata mavuno yao, hata mwezi aujapita Tanesco wanaendeleza uzembe wa msimu uliopita.
Tumechoshwa na uzembe TZ, serikali itoke madarakani kama imeshindwa kazi, umeme karne nzima ni ttz, wanachoshangaa ni nini.
Vyama vipo vingi vyenye sera nzr na nguvu mpya ya kuondoa mttz, vipewe nafasi.
Tz imeoza
aaah mdau hapo juu umekosea, sema Mungu ibariki tanzania na watu wake usiwabariki viongozi wake!!
ReplyDeleteHE HE HEEEE SIPAMISI BONGO HATA DAKIKA MOJA...... AHERA HAKUENDEKI, BONGO HAIKALIKI NIMEPATWA NA MFADHAIKOOOOOOOOOOO......
ReplyDeleteAjabu ni kwamba Traffic kukiwa na umeme nao wamo barabarani kuongoza magari...kama hakuna umeme nao wanakaa pembeni mwa barabara kungojea ajali...kweli Nahodha utaweza! Saidi Mwema taasisi hii ni ya taaluma si siasa...tuache kufanyakazi kwa maslahi ya tumbo tuuu. Nyerere baba ukisema utatuombea... Tuombee sasaaa Taifa lako linaenda ndivyo sivyo...naipenda Tanzania.. Bite
ReplyDeletemkome kusapoti uchakachuaji. mkome na mgao wenu. niu mavuno ya uchakachuaji hayo. ni kweli kuwa sisyemu imetenda mambo mengi makubwa ambayo si rahisi kuyasahau, hili la ume me likiwa mojawapo.
ReplyDeletewapinzani hamna sera, mna njaa kali tu, na uchu wa madaraka uliokithiri, mnataka kwenda i ku ru kufanya nini? pale si mahali pa mchezo.
Mnataka tenesko wawape umeme kila taim na kwa watu wote, kwani tutajuaje tofauti kati yetu? vingunge razima wajulikane bwana.
halafu, kwani hamjuhi kuwa mvua haikunyesha kule kwenye bwawa la jimbo la mzee ciguiyemici? Alah, hamna adabu nyie! ngojeni mwaka 2015 kishindo kingine!
Hongera tumechaguwa maendeleo.
ReplyDeletejamani! jamani! jamani! jamani,mi kama mtanzania sijui nifiche wapi sura,ni aibu,tunaonekana kama ming'ombe kwa jinsi viongozi wasivyo na mpangilio.
ReplyDelete