Home
Unlabelled
Maalim Seif alipowatuliza wafuasi wa CUF wakati wa kusubiri matokeo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hapo si amani bali ni kuwa Maalim kaona ndiyo anaelekea lala salama walau aambulie umakamu wa Rais!
ReplyDeletekitu gani bwana? hata mi ningepaza sauti kuwaambia waondoke, umakamu wa raisi sio mchezo bwana.... kuku kwa mrija kila mwezi uko kwenye swissair kwenda kula bata. Mwacheni mwanangu ale matunda ya muafaka
ReplyDeleteKwa watu makini wanaoitakia Zanzibar mema. Kauli nyingine ambazo hazijengi zaidi ya kubeza hazisadii kitu Zanzibar.
ReplyDeleteRejeeni Kauli ya JK alipokuwa akilihutubia Bunge mara tu alipoingia madarakani.
Hongera Dk. Shein na Hongera Maalim Seif. Wanaobeza walikuwa wananufaika na siasa za mfarakano. tuwabaini na tuwakatae.
Ankali kuwa makini.
Kama ilivyokuwa zimbabwe na kenya, viongozi wa upinzani wanapoahidiwa fupa basi upinzani huwa unakwisha.
ReplyDeleteHiyo ndio proof kuwa upinzani wao wote sio kwa ajili ya wafuasi wao bali ni kwa manufaa yao.
Subirini tu mtaona ahadi zote alizokuwa akiweka hazitotimizwa sasa kashapata fupa. Siasa za afrika bwana!!!!
Salaam Ankal mithupu...
ReplyDeleteNaomba niseme kuwa Seif HAmad ameniinspire, na laiti kama ningekuwa Zanzibar basi ningependa sana nimshike walau mkono , kwa kweli Seif ni SHUJAA anaefaa kupongezwa na kuigwa, mimi ni Mbara halisi kwetu ni pale Kunduchi Pwani, lakini nimemfurahia Seif kwa sababu hakuwa mbinafsi, amewafikiria sana watu wa Zanzibar and he did that for the blood of the people of Zanzibar, kwa sababu laiti kama angesema hakubali matokeo basi leo hii tungeshuhudia umwagaji wadamu kama ule wa chaguzi zilizopita nyuma, lakini amekubali matokea na amewasihi watu wake watulie, na hakufanya hivyo kwa kuwa anataka kula bata! kwa sababu hata kabla bata alikuwa anakula mara ngapi tumesikia Seif yupo Uk, mara ughaibuni etc, lakini kwasababu swalazima linawagusa wazanzibari na sio wabara! waacheni wajiamulie kufanya wanayoyaona yanawafaa wao na kamwe msiwabeze! HONGERA SANA MAALIM SEIF, WEWE NI KIDUME NA UNAFAA KUIGWA KATIKA NYANJA ZOTE,.,..NAWAOMBEA KWA ALLAH SUB-HANA WA TAALA AWAWEZESHE KUONGOZA KATIKA HII SERIKALI MPYA YA MSETO KWA UADILIFU WA HALI YA JUU NA NAAMINI MTAWEZA ..., MUNGU IBARIKI ZANZIBAR MUNGU IBARIKI TANGANYIKA
BIG UP SEIF
ReplyDeleteWAZANZIBAR NDIYO TUNAJUA UMASIKINI TULIOUPATA KUTOKANA NA VURUGU ZA MIAKA YOTE ILIYOPITA.
Sasa Maalim ukishapewa umakamo utawashuhulikia wale waliowaonea wenziwao huko nyuma, kwa kuwapiga na kuwadhulumu mengi tu kwa sababu za vyama wanavyo support? i am not holding my breath.
ReplyDeleteYametokea kenya na zimbabwe, viongozi wa wapinzani walipopewa umakamo wamewasahau wanachama wao na mentality zao zimekuwa sawa na watawala wakuu. na mmalim naamini atakuwa vivo hivyo.
Cha kushukuru ni kuwa uchaguzi umeisha kwa salama na bila ya watu kupoteza maisha yao, mengine ni PUNDA YULE YULE, LILOBADILIKA NI SOJI!!!
Maalim hongera kwa maamuzi ya busara japo umeshinda ila hakuna shida ilimradi amani ipo. Iko siku tutafika tu.
ReplyDeleteDili zilizofanywa kati ya ccm na Maalim Seif zinamaanisha kuwa Demokrasia haitakuja kuja Zanzibar hivi karibuni. Kwa nini serikali ya mseto? Ni muhimu matokeo ya uchaguzi yaheshimiwe na chama kilichoshinda kiunde serikali na sio kutangaza serikali ya mseto kabla hata ya uchaguzi. what's the point of spending money for elections then?
ReplyDelete