Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohamed Gharib Bilal katikati, akiwa katika picha ya pamoja na Mawaziri wa Ofisi yake wakati Mawaziri hao walipokwenda Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo, kwa ajali ya kujitambulisha rasmi. kushoto Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Mhe. Dk. Teresya Luoga Hovisa, katikati Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Mhe. Samia Hassan Suluhu.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohamed Gharib Bilal, akizungumza na Mawaziri wa Ofisi yake wakati Mawaziri hao walipokwenda Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam leo kwa ajili ya kujitambulisha rasmi. kushoto Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Mhe. Dk. Teresya Luoga Hovisa katikati Waziri wa Nchi Ofisi Makamu wa Rais Muungano Mhe. Samia Hassan Suluhu.Amour Nassor VPO.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Mwanamke ushungi babu eeh!!!
    Halo haloooooooooooo.
    Hongera Bi. Samia Suluhu

    ReplyDelete
  2. Michuzi, najua tu umepitiwa kidogo na hiyo ni hali ya kawaida ya kibinadamu. Rekebisha maelezo uliyotoa yaendane na picha husika

    ReplyDelete
  3. Inaonekana hizi comments tunazotoa hazina maana. Mdau hapo juu kakukumbusha urekebishe, ila hujamsikiliza. Angalia sentensi ya mwisho ya picha ya kwanza maelezo yake hayajatulia. Kwa watu wasiojua unaweza kuwachanganya. Tafadhali rekebisha, vinginevyo comments hazina maana

    ReplyDelete
  4. PAMBA SAFI mzee....imetulia!

    ReplyDelete
  5. Hadj Drogba "mwana chelsea"December 01, 2010

    Mh.Samia ni mwanamama mrembo zaidi kupata kutokea katika historia ya baraza la mawaziri Tanzania...nani anabisha?nampenda sana mama huyo toka alipokuwa waziri wa maliasili huko zenj,ana sura ana jicho,yani we acha tu wadau mtanisamehe,kusifia si dhambi ati

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...