Home
Unlabelled
Makamu wa Rais akutana na Mawaziri wa ofisi yake leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mwanamke ushungi babu eeh!!!
ReplyDeleteHalo haloooooooooooo.
Hongera Bi. Samia Suluhu
Michuzi, najua tu umepitiwa kidogo na hiyo ni hali ya kawaida ya kibinadamu. Rekebisha maelezo uliyotoa yaendane na picha husika
ReplyDeleteInaonekana hizi comments tunazotoa hazina maana. Mdau hapo juu kakukumbusha urekebishe, ila hujamsikiliza. Angalia sentensi ya mwisho ya picha ya kwanza maelezo yake hayajatulia. Kwa watu wasiojua unaweza kuwachanganya. Tafadhali rekebisha, vinginevyo comments hazina maana
ReplyDeletePAMBA SAFI mzee....imetulia!
ReplyDeleteMh.Samia ni mwanamama mrembo zaidi kupata kutokea katika historia ya baraza la mawaziri Tanzania...nani anabisha?nampenda sana mama huyo toka alipokuwa waziri wa maliasili huko zenj,ana sura ana jicho,yani we acha tu wadau mtanisamehe,kusifia si dhambi ati
ReplyDelete