Home
Unlabelled
miguu ya tembo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Minne
ReplyDeleteminne na uliyochora feki
ReplyDeletefour..au fwooo kwa kichagga
ReplyDeletefour
ReplyDelete2+2=4 ndio jibu
ReplyDeletelOOK MANY, BUT ACTUALLY ONLY 4
ReplyDeleteStupid question, even lazy kids know the answer is four. lazy bones!
ReplyDeletethis is an optical illusion...miguu ni minne tu japo macho yanaona minane.
ReplyDeleteminne yenye sijui ni vidole au ni kwato na minne isiyo navyo..
ReplyDeleteWe Kimea you can call urself stupid coz hukulazimishwa ujibu, kwani sio kila kinachopostiwa lazima u-comment. Na hy ndo type ya maswali ulokua ukiambulia ulivyokua shule...
ReplyDelete2+2=4 ndio jibu!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDelete1+1 = 2. Lakini kwa muktadha wa maji, kwa mfano, 1 + 2 = 1 (tone moja kubwa).
Kwahiyo, 2 + 2 = 1, ama sivyo?
Jibu lake point mshare wako kwenye tembo mwenyewe utaona miguu minne kiulaini kabisa
ReplyDeletewewe idiot wa Mon Nov 15, 01:19:00 PM, laiti ungelijua ni kiasi igani umejidhalilisha kwa comment yako!!
ReplyDeleteWewe ndio katika wale waliofeli shule kwa shauri ya kuruka kujibu masuali bila ya kutafakari.
Unadhani nani asojua kama tembo ana miguu minne? ulichotakiwa ni kitazama hiyo picha, na katika hiyo picha tu, huyo tembo ana miguu mingapi? Now nani ni stupid kama si wewe?
Only one the rest fake
ReplyDeleteNa wewe idiot wa Mon Nov 15, 08:59:00 PM ni stupid vilevile. Kila mtu anajua tembo ana miguu minne. Simple as that. Ya nini kujihangaisha wakati jibu lipo wazi? Nyie ndio mliopata miswakio ya hesabu kwa kupoteza muda kwenye mafomula wakati jibu liko wazi. Hivi kumbe hii blogu inasomwa pia na tora tora?
ReplyDeleteukitaka kujua ni minne weka mouse kwenye hiyo picha utaona hiyo miguu minne vizuri
ReplyDeleteWe umekremu nini?
ReplyDeletetembo ana miguu mingapi? minnnnnnnnnnnnnnnnne!! safi watoto wazuri!
huyo tembo ana miguu 9 ni wa pale Salenda manyoya!
tembo wako wengi bwana alah!
Duuuh 1,2,3,4,5,6,7,8 ahhn no wacha nianze tena moja, mbili, tatu nne, tano, siii, aah shit, mbona sielewi,
ReplyDeletehii inahitaji unywe Aloe Vera Gel at www.aloeverabenefits.weebly.com
wewe mtowa maoni wa Tue Nov 16, 02:00:00 AM wewe ndio stupid zaidi na usioelewa. Nadhani mwalimu wako alimalizikia kuwa mwenda wazimu akijaribu kukufundisha.
ReplyDeleteThink out of the box, suali sio kuwa tembo ana miguu mingapi?, ila katika hiyo picha unaona kama ana miguu mingapi? umeona au umefahamu tafauti ya masuali hapo? au unataka nirudie tena you stupid git?