Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. minne na uliyochora feki

    ReplyDelete
  2. four..au fwooo kwa kichagga

    ReplyDelete
  3. 2+2=4 ndio jibu

    ReplyDelete
  4. lOOK MANY, BUT ACTUALLY ONLY 4

    ReplyDelete
  5. Stupid question, even lazy kids know the answer is four. lazy bones!

    ReplyDelete
  6. this is an optical illusion...miguu ni minne tu japo macho yanaona minane.

    ReplyDelete
  7. minne yenye sijui ni vidole au ni kwato na minne isiyo navyo..

    ReplyDelete
  8. We Kimea you can call urself stupid coz hukulazimishwa ujibu, kwani sio kila kinachopostiwa lazima u-comment. Na hy ndo type ya maswali ulokua ukiambulia ulivyokua shule...

    ReplyDelete
  9. 2+2=4 ndio jibu!!!!!!!!!!!!!!

    1+1 = 2. Lakini kwa muktadha wa maji, kwa mfano, 1 + 2 = 1 (tone moja kubwa).

    Kwahiyo, 2 + 2 = 1, ama sivyo?

    ReplyDelete
  10. Jibu lake point mshare wako kwenye tembo mwenyewe utaona miguu minne kiulaini kabisa

    ReplyDelete
  11. wewe idiot wa Mon Nov 15, 01:19:00 PM, laiti ungelijua ni kiasi igani umejidhalilisha kwa comment yako!!

    Wewe ndio katika wale waliofeli shule kwa shauri ya kuruka kujibu masuali bila ya kutafakari.

    Unadhani nani asojua kama tembo ana miguu minne? ulichotakiwa ni kitazama hiyo picha, na katika hiyo picha tu, huyo tembo ana miguu mingapi? Now nani ni stupid kama si wewe?

    ReplyDelete
  12. Only one the rest fake

    ReplyDelete
  13. Na wewe idiot wa Mon Nov 15, 08:59:00 PM ni stupid vilevile. Kila mtu anajua tembo ana miguu minne. Simple as that. Ya nini kujihangaisha wakati jibu lipo wazi? Nyie ndio mliopata miswakio ya hesabu kwa kupoteza muda kwenye mafomula wakati jibu liko wazi. Hivi kumbe hii blogu inasomwa pia na tora tora?

    ReplyDelete
  14. ukitaka kujua ni minne weka mouse kwenye hiyo picha utaona hiyo miguu minne vizuri

    ReplyDelete
  15. We umekremu nini?

    tembo ana miguu mingapi? minnnnnnnnnnnnnnnnne!! safi watoto wazuri!

    huyo tembo ana miguu 9 ni wa pale Salenda manyoya!

    tembo wako wengi bwana alah!

    ReplyDelete
  16. Duuuh 1,2,3,4,5,6,7,8 ahhn no wacha nianze tena moja, mbili, tatu nne, tano, siii, aah shit, mbona sielewi,

    hii inahitaji unywe Aloe Vera Gel at www.aloeverabenefits.weebly.com

    ReplyDelete
  17. wewe mtowa maoni wa Tue Nov 16, 02:00:00 AM wewe ndio stupid zaidi na usioelewa. Nadhani mwalimu wako alimalizikia kuwa mwenda wazimu akijaribu kukufundisha.

    Think out of the box, suali sio kuwa tembo ana miguu mingapi?, ila katika hiyo picha unaona kama ana miguu mingapi? umeona au umefahamu tafauti ya masuali hapo? au unataka nirudie tena you stupid git?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...