Sugu aongea mara baada ya matokeo kutangazwa.
a video hii na nyingine kibao BOFYA HAPA Msimamizi wa kituo cha Chuo cha Uhasibu Bw. Samweli Lazaro jimbo la Mbeya Mjini amemtangaza Msanii mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Joseph Mbilinyi a.k.a Mr II a.k.a Sugu kupitia chama cha CHADEMA kwa kuibuka na kura 46,411 na kumbwaga mpizani wake CCM Bw. Benson Mpesya kwa kupata idadi ya kura 24,327.
Hongera sana Mh. Joseph Mbilinyi. Mungu akusaidie ulitumikie taifa kwa uadilifu mkubwa. Akupe afya, nguvu na imani wakati ukiwa mgumu. Usisite kuomba ushari na kusikiliza ushauri.
ReplyDeleteTupo pamoja nawe, tuweke hii nchi sawa.
Taji
Hiki ni kichwa halisi cha bongo flava na sio cha kudanganyiwa kutengenezewa studio!
ReplyDeleteNaona Ankal sasa hivi unamfagilia Sugu. Wakati wa kampeni ulikuwa huweki hata picha moja juu ya kampeni zake. Haya sasa, yeye tayari ni mheshimiwa, na wale wenzake walioamua kwenda kumpigia debe JK tuone watafika wapi.
ReplyDeleteHongera sana mkuu, tupo pamoja daima Sugu go....!!!
ReplyDeleteWatuu ........... maana ni ua garagaza ......... CCM chali kwa zaidi ya kura 22,000. Yap hiki ndio kizazi kipya ndani ya nyumba
ReplyDeleteWat an equation Moshi mjini, arusha mjini mbeya mjini...SMART PEOPLE"
ReplyDeleteYani hapa nipo na SUGU....tunacheza all night long ..... guess what RUGE MUTAHABA ndio DJ halafu KIBONDE ndio MC
ReplyDeletehongera suguuuuuuuuuuuuuuuuu! acaha wale wachoka kiduku wale majani we ndani mujengoni! wanatamani kweli wakuite wakakufanyie intavyuu hapo klaus fm!
ReplyDeleteBig Up Mh Mr. II
ReplyDelete(US Blogger)
lesson number one:dont underestimate anyone...ni hayo tu,jiwe hapa ukerewe
ReplyDeleteAma kweli penye nia pana njia.. Hongera sana Sugu. Kama masikhara!
ReplyDeleteHongera sana Sugu, sasa wabonge wajue kwamba everything is possible waache kudanganyika kirahisi , watu wamechoka ! Sugu oyeeee! "yes we can"
ReplyDeleteHongera sana Mr Sugu.......Kila la kheri katika majukumu yako mapya........ulikuwa nyota katika fani ya Muziki uwe nyota katika kaiz hiyo.....nategemea hutakuwa kibaraka wa upande wowote zaidi haki na kweli.......
ReplyDeleteBİG UP SUGU , TUPO PAMOJA - WADAU UBATANİ
ReplyDeleteMheshimiwa Sugu! Hongera sana! Walikuponda sana sasa Watakupongeza sana! Wape vidole viwili kuonysha pamoja tunalijenga Taifa letu lenye utajiri sana! Hakikisha ahadi zako zinapitiliza, Taji amesema ushauri omba na usilete usugu katika hilo man! Every1 is happy! Ebu toa single na Keputeni Komba mjengoni Dodoma basi-lol. Jamii iliyo na shida ni kutimiza malengo yake na sio porojo za mjengoni. Hakikisha unakumbukwa kwa mazuri. Ukiona unajisifia jana umefanya mazuri tambua leo hakuna kitu ulichofanya.
ReplyDeleteHongera Sugu ..... mabadiliko yanatokana na sisi wenyewe , tukitaka inawezekana ,na ukiwa na dhamira , bidii na sababu unaweza
ReplyDeleteWatu walichonga sana. tena humu humu
ReplyDeleteeti ohhh hapo wafuasi wako km wamejiandikisha utashinda kama hawajajiandikisha umekula mtama
Sasa yuko juuuuuuuuu mheshimiwa wetu mpya mbeya mjini
Hongera Sugu pia hongera mheshimiwa John Mnyika! haya nia matokeo rasmi ya tume ya CCM. Sisi hatuwataki mtawale!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteHongera sana wananchi wa Ubungo kuyabwaga mafisadi. Mnyika upo juuuuuu bado wanambania Mheshimiwa Mdee nafikiri muda si mrefu wataachia! Mafisadi wanatakiwa kusoma alama za nyakati! Usiibanie comment yangu wewe michuzi!
ReplyDeleteKibonde endele akuchonga sasa! Anyway tunajua njaa zako ndizo zinakusababisha ujikombe kwa CCM muda wote
ReplyDeleteWANAKUITA SUGUUUU, WANAKUITA SUGUUUU, WANAKUITA SUGUUUU. HAPO DJ LAZIMA AWE RUGE MUTAHABA TU APENDE ASIPENDE.
ReplyDeleteKaka Sugu Hongera Sana..4get wabaya wako wote wasije wakakutengenezea scandal wakuharibie we piga kazi wajali wapiga kura wako kwa kutimiza ahadi zako kuweka mazingira mazuri ya 2015.
ReplyDeletebraaaaaaaaap braaaaaaaaaap! Anti-Virus Mjengoni! Kudadadeki! Tunafagia virusi vyote vya ndani, tukimaliza tunafata vya nje!
ReplyDeleteBig up kamanda way to go tunagonga mpaka isikike!
Next 5 years: Rural Enlightment. Maana mjini wameshaamka!
Pa1!
Mdau hapo juu kapteni Komba amepoteza ubunge hana lake tena. Kipindi hiki atumie kuangalia afya yake tu. Ha ha !!! muda wa mipasho umeisha watanzania tufanye kazi hatutaki bla bla !!! nyimbo kibao hamna utekelezaji kimekula kwaoooo!
ReplyDeletemheshimu kila mmoja anae hema na kutembea,mana hujui kesho atakua nani,na atakua wapi,so incouragin mh.sugu,salute,i knw u can n u'l make it,huku India tumefurahia ushindi wako sana!uliongoza hiphop.sasa tuongoze kulijenga taifa
ReplyDeleteNyumba ya mafanikio ya Sugu, kulikuwa na Kamanda GSOLO. Hongera zako sana kuacha familia yako changa Dar na kuweka kambi Mbeya, ni imani yangu mtaendelea kusaidiana kimaisha, pia ni muhimu sana kuwasamehe wale wote waliowatosa maana hayo yamepita, sifa moja kuu ya kiongozi wa watu ni kuondoa makundi,washirikishe wabaya wako na wazuri wako kisha anza upya.
ReplyDeletesugu sikia mafisadi walizoea stop sign now wamekutana na red light ukifika dodoma swali wataje wanakotoa hizo fedha umefika new york lent $1,500 bongo lent $3,000 kwa mwezi sema wajibu maswali hayo good luck brother
ReplyDelete