


Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
onea buji ,gombe gopa eeh?
ReplyDeletengoja kiboko yenu Rwanda mtakiona
Hao wasomali mpaka wapate ajali ndio wafungwe? Wadau, hii timu inahitajika kunolewa zaidi. Aidha wazo la kuwa na timu za vijana litekelezwe, isiwe blabla tu. La si hivyo basi tutaendelea kutwanga maji kwenye kinu/
ReplyDeleteHapo mteremkooo, mmezoea vya kunyonga vya kuchinja hamuweziiiiiiiii...............!!
ReplyDeleteMirungi na soka wapi na wapi? Msidhani soka letu limekuwa baada ya kuwafunga wala mirungi.
ReplyDeleteKIINGILIO ILIKUWA MIGUU YAKO NA MACHO YAKO. SAFI SANA NIMEIPENDA HII.
ReplyDelete