Lady Jay Dee akitoa heshima zake kwa kiongozi wa Msondo Ngoma Band Papaa Saidi Mabera wakati Baba wa Muziku walipotumbuiza na Machozi band ukumbi wa Mzalendo Pub Kijitonyama jijini Dar Ijumaa. Ama hakika ilikuwa burudani ya aina yake na washabiki wameomba zoezi hili liendelee kwani Msondo Ngoma ni ya watanzania wote na si ya tabaka moja tu la watu
Kepteeeein Gadna G Habash ambaye ni mpenzi damu wa Msondo akiwa haamini masikio yake kwa jinsi wazee walivyokuwa wanamwaga vitu stereo utadhani CD kumbe laivu

Jide akiwa jukwaani na Msondo Band
wakati wa wimbo 'Cheusi Mangara'
wapuliza midomo ya bata
Jide na skwadi nzima ya Msondo Ngoma.
Hapo kakosekana Muhidin Maalim Gurumo tu ambaye
yuko Muhimbili kalazwa na hali yake inaendelea vizur.
angalizo: video ya shoo hii inaandaliwa.





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. MSONDO OYEE!MAGOMA KITAKITA.....WAPI KAMANDA GURUMO...MABERA UNATISHA

    ReplyDelete
  2. Kidogo tuu...mambo hadharani.....kidogo tu...utakwendaa...ah Msondo afya!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...