Home
Unlabelled
msondo ngoma walipotumbuiza na lady jay dee
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
leo michuzi umenifurahisha utakuwa juuu
ReplyDeleteAnkal,
ReplyDeleteNimekubali hii 'collabo' ya wanamuziki wa kizazi kipya na wale wa muziki wa dansi.
Namna hii kila mmoja anajifunza toka kwa mwenzie yaani kizazi kipya na wale wa muziki wa dansi na kupelekea muziki wa Tanzania kukubali na wote bila kujali umri.
Mdau
Honolulu,
Visiwani Bahari ya Pasifiki.
Ankal! this is what i call bongo flava
ReplyDeleteHuu ndo muziki bwana, siyo madombolo yenu.
ReplyDeleteLADY JD KAMA ANASOMA HAYA MAONI YETU ATANIKUMBUKA JULY 2003 TOTENHAM UK KWENYE SOUND CHEKI KABLA LA ONYESO LA PAMOJA NA WAZEE SUGU ILINICHUKUA SECUNDE 2 KUMJUA T.I.D(NILIKUWA SIMJUI KABLA YA HAPO}KWANZA KAJA KACHELEWA MUDA ALIOPANGIWA KISHA ANATAKA AFANYE YEYE AKITOE NA WASHIKAJI ZAKE WANA MSUBIRI.MR PAUL YEYE ALIKUWA POA LAKINI NILIDHANI NI MANAGER,RAY C ATA KABLA UJAULIZA UTAMJUWA NDIO SUPER STAR KUTOKA BONGO.NILIKUWA NAZIMA VYOMBO MSICHANA MPOLE AKANIFUATA ILE KINYUMBANI KABISA KAKA SAMAHANI MIMI BADO SIJAFANYA SOUND CHECK,ALIKUWA WA KWANZA KUFIKA NA ALITULIA TULI BILA MAKEKE YEYOTE NAKUMBUKA NILIMWAMBIA LADY JD NIDHAMU YAKE YA WOGA NDANI NA NJE YA STEJI NDIO MAFANIKIO YAKE KWA HAKIKA BINTI HUYU TUSIMUACHIE KAPTEN GADNER PEKE YAKE WAPENZI WA MUZIKI WAKE KWA WAUME TUMPE SAPOTI ATA KWA KUHUDHURIA MAONYESHO YAKE.MWISHO HONGERENI BABA YA MUZIKI MSONDO NGOMA.
ReplyDeletedahhhh huyu jide muacheni aitwe KOMANDO maana huo mpelampela nimeukubali
ReplyDelete