MWENYEKITI WA CUF PROF. IBRAHIM HARUNA LIPUMBA AKIZUNGUMZA NA MBUNGE WA LINDI MJINI MHE. SALUM BARWANI WALIPOKUTANA KATIKA VIWANJA VYA IKULU YA CHAMWINO DODOMA MARA BAADA YA KUAPISHWA WAZIRI MKUU.PICHA KWA HISANI YA MEDIAWORKS INTERNATIONAL

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Nimefurahi sana kuona ndugu zetu wa Lindi walivyokuwa binadamu haswa kwa kuchagua ndugu yetu mwenye ulemavu wa ngozi. Nawashukuru sana kuutangazazia ulimwengu kuwa ni Watanzania wachache wenye imani potofu nau jinga wa kishetani wa kudhuru wenzetu kwa imani zao za ushetani na maangamizi.

    ReplyDelete
  2. Pamoja na wote namuona Mheshimiwa Juma Nkamia kwa mbali. Tuone nini kitaendelea tis time.

    ReplyDelete
  3. I have come to the conclusion that politics is too serious a matter to be left to the politicians.

    ReplyDelete
  4. Ingelikuwa kanda ya ziwa kulikogubikwa na imani potofu wasingemchagua! Watu wa kusini ni wastaarabu na ubinadamu wameweka mbele!

    ReplyDelete
  5. Ingelikuwa kanda ya ziwa kulikogubikwa na imani potofu wasingemchagua! Watu wa kusini ni wastaarabu na ubinadamu wameweka mbele!

    ReplyDelete
  6. duh mbona kuna tembo hapo tena wanapiga na hawa waislamu au ni macho yangu tu labda ni maji ya madafu? NAHISI ILI WAPINZANI KUITOA CCM BORA HAWA VIONGOZI KAMA LIPUMBA SEIF WANGEMFUATA MREMA KUGOMBEA UBUNGE BASI WANGELIPATA HATA DODOMA NGOME YA CCM

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...