Home
Unlabelled
PROFESA LIPUMBA NA MBUNGE WA LINDI MJINI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nimefurahi sana kuona ndugu zetu wa Lindi walivyokuwa binadamu haswa kwa kuchagua ndugu yetu mwenye ulemavu wa ngozi. Nawashukuru sana kuutangazazia ulimwengu kuwa ni Watanzania wachache wenye imani potofu nau jinga wa kishetani wa kudhuru wenzetu kwa imani zao za ushetani na maangamizi.
ReplyDeletePamoja na wote namuona Mheshimiwa Juma Nkamia kwa mbali. Tuone nini kitaendelea tis time.
ReplyDeleteI have come to the conclusion that politics is too serious a matter to be left to the politicians.
ReplyDeleteIngelikuwa kanda ya ziwa kulikogubikwa na imani potofu wasingemchagua! Watu wa kusini ni wastaarabu na ubinadamu wameweka mbele!
ReplyDeleteIngelikuwa kanda ya ziwa kulikogubikwa na imani potofu wasingemchagua! Watu wa kusini ni wastaarabu na ubinadamu wameweka mbele!
ReplyDeleteduh mbona kuna tembo hapo tena wanapiga na hawa waislamu au ni macho yangu tu labda ni maji ya madafu? NAHISI ILI WAPINZANI KUITOA CCM BORA HAWA VIONGOZI KAMA LIPUMBA SEIF WANGEMFUATA MREMA KUGOMBEA UBUNGE BASI WANGELIPATA HATA DODOMA NGOME YA CCM
ReplyDelete