JEDWALI JIPYA
MAJEDWALI HAYA NI KWA MUJIBU WA TBC ONE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 30 mpaka sasa

  1. Takwimu hizo ni uongo mtupu....wizi kama kawaida

    ReplyDelete
  2. WAONGO WAKUBWA HAO, ARUSHA JE? NA NYAMAGANA? NA IRINGA MJINI? NA ILEMELA? UBUNGO JE? MPAKA WACHAKACHUE!

    ReplyDelete
  3. Hicho kiti kimoja cha Chadema ndio kile cha Rombo?

    ReplyDelete
  4. WACHENI WIZI WENU, NYIE TBC NI WA CCM TUNAJUA, LAKINI HIZI DATA NI ZA UONGO. SHAME ON YOU

    ReplyDelete
  5. CCM ina wapambe mbalimbali wanaocheza na akili za watu tu. kama wewe michuzi na TBC yenu. yaani wameanza kutangaza kwenye ngome za CCM tu ili kuwavunja mioyo watu wajue kwmba Chadem inashindwa.Dar es Salaam hii kuna umbali gani wa kura kuchukua masaa 24 kuhesabiwa kweli.Hata kama mtashinda mjue kwamba watu hawaitaki CCM

    ReplyDelete
  6. Naona blog ya Jamii imeshindwa kazi this time. Hiyo kambi mliopiga hapo NEC naona haiwajibiki.

    ReplyDelete
  7. Msilaumu kuwa ni takwimu za uongo, ila usanii upo kwenye jinsi ya mtiririko wa kutoa matokeo.

    Unaanza kuripoti sehemu unayotaka kuonesha ushindi ili ku-influence perception za watu.

    Akili kichwani!!

    ReplyDelete
  8. Matokeo yanayotangazwa ni yale walikoshinda CCM pekee. Walikoshinda wapinzani matokeo yote yamezuiliwa!!!! This is wrong! Tume ya uchaguzi isije ikaleta uvunjifu wa Amani>!!!

    ReplyDelete
  9. Michuzi muulize JK maswali haya.
    1. Muheshimiwa Raisi, wanazuoni wengi na wasomi ambao ndio wenye upeo mpana zaidi wa kuchanganua mambo wameonekana kuipinga CCM na utendaji wao. Je hilo tulitafsiri kwamba CCM inategemea mtaji wa wenye upeo mdogo ili ishinde uchaguzi?

    2. Mheshimiwa ulivyoingoa madarakani mwaka 2005 ulishinda kwa kishindo na ulipata upinzani mdogo sana. lakini mwaka huu ukiwa unarenew ndio upinzani umekuwa ukali zaidi. hiyo ni tofauti na Mtangulizi wako Mkapa. je hiyo ina maana umechemsaha kwenye uongozi wako au wewe sio chagua la watu tena.

    ReplyDelete
  10. wewe anonymous 04.25pm kama unabishana na statistics nenda kanunua sumu ufe!!!!!

    ReplyDelete
  11. Wazee wa kuchakachua (CCM) this Time hawawezi....Wanatangaza ya UNGUJA tu ili wachakachue ya HUKU BARA. This time watachemka.

    ReplyDelete
  12. wadau nendeni jamii forum kun utamu sasa hayo matokea hapo juu yamekaa aje bora usingeweka tu kieleweke

    ReplyDelete
  13. we Michuzi, hivi kweli unafanya kazi ki-professional au kama kibaraka wa CCM? Ni aibu kuona ukiwasaliti wananchi kwa kuwa bias kutokana na hivyo vijisent ccm wanavyokupa. You are a traitor, ogopa Mungu.

    ReplyDelete
  14. Michuzi fanya faster tuletee matokeo, achana na walevi kama mtu hataki matokeo ahamie Rwanda

    ReplyDelete
  15. someni alama za nyakati tb na michuzi sio mnaweka walikoshinda mabosi wenu2 mbona hamtuwekei iringa, ubungo, mbeya na kwingineko ambako ccm imeachwa mbali kabisa ambako

    ReplyDelete
  16. ha ha ha ha jamaa wameanza na majimbo yao jamaa wabaya sana.laana ya mwenyezi mungu itawafikia tu.

    ReplyDelete
  17. Kaka michu - coverage yako ya uchaguzi kwenye blog hii ya jamii ina chechemea sana.

    Habari ninazo zipata mimi ni kwamba CCM ipo taabani sana, Arusha JK kaachwa mbali sana. Mbunge Wasira kapigwa chini jimboni kwake kakataa kusign form ya matokeo.

    Mimi mdau napata nyepesi nyepesi

    ReplyDelete
  18. We michuzi wewe, tembelea kahama na mbeya ushangae na roho yako.

    ReplyDelete
  19. acheni jazba jamani, mbona mnakua kama watoto wadogo!? mnalilia pipi wakati hamjui mzee anafikiria dona?!

    Makubwa!!

    Subi

    ReplyDelete
  20. Ndugu yangu itabidi ubadilike sasa, acha stori za kulamba miguu wakubwa. Punguza utwana (punguza stori za wafalme, wake zao, watoto wao, nyumba ndogo zao, etc.) TUONGEE TANZANIA na WATANZANIA. Ushauri wa bure

    ReplyDelete
  21. Jamani msimlaumu Kaka Michu, yeye mjumbe tu na mjumbe hauwawi.

    Kaka michu ninaheshimu uhuru wako wa habari. Kwa hilo wala sina wasiwasi najua wakati ukifika utatoa tu taarifa.

    Keep us informed

    ReplyDelete
  22. kwa kweli hamna mahali nimecheka leo kama kule jamii forum, yani wanajiachia vilivyo, wadau kule wamekata kamba.

    ReplyDelete
  23. Michuzi si kawaida yako kuachia wadau kutoa maoni bila wewe kubania...inaelekea NEC imeshakuhakikishia kuwa Jakaya kalamba dume ndio maana huminyi comments!

    ReplyDelete
  24. Watanzania sijui mnataka nini ?? mkishindwa ooho tumeibiwa..hamuishi kulalamika eehe ndio chadema hao...wao wanafikiri ni wao tu wanapiga kura.. Kama hamna imani na NEC basi muame TZ, nendeni Kenya.

    Chadema bado changa, wengi wenu mnatoka mikoa ya kaskazini...chaga na Arusha. Sasa mlifikiri sasa hivi mtafanya biashara ikulu?? Eisee Mbowe ni waziri baba angu!! mnajifanya mna uchungu na nchi wakati nyie ndio mliotaka wakoloni wabaki kwa maslahi yenu ...Sasa nendeni mkashtaki Vatican!!

    Mnaboa...matoke yanatangazwa na NEC, nyie mmeshaanza kutangaza matokeo mnayotaka nyie. KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!!

    ReplyDelete
  25. Kama hutaki kuangalia TBC, funga kitv cahko, subiri habari unazopenda "Tanzania Daima". Ndio mimi ni CCM, sasa wewe inakuuma nini??? Wewe ni chadema kaa na chadema yako!!

    ReplyDelete
  26. Wewe unayejifanya una data kuliko NEC, usijiabishe...Chadema nacho ni chama au Slaa ndio chadema...Yani kila mchaga anashabikia chadema, hajui hata ni kwa sababu gani. Ndio hapo naona kuna harufu ya ukabila na Udini !!

    ReplyDelete
  27. Kuuliza JK ameshinda? ni sawa na kuuliza mbege moshi

    ReplyDelete
  28. Chadema mmeshindwa...fair and square. Lakini nyie kulalamika ni tabia kwa hiyo si shangai!!

    ReplyDelete
  29. Chadema, nendeni JF mkadanganyane...

    ReplyDelete
  30. Msimamo wapinzani:
    1.Musoma mjini - Vincent Nyerere- CHADEMA
    2.Iringa mjini - Mch. Peter Msigwa- CHADEMA
    3.Lindi mjini - Salum Halfani Barwani- CUF
    4.Arusha mjini- Godbless Lema - CHADEMA
    5.Mwanza Nyamagana- Hezekiah Wenje - CHADEMA
    6.Moshi Mjini- Philemon Ndesamburo - CHADEMA
    7.Maswa Magharibi- John Shibuda- CHADEMA
    8.Maswa Mashariki- Silverster Kasulumbayi- CHADEMA
    9.Ukerewe - Salvatory Naluyege- CHADEMA
    10.Biharamulo - Dr. Mbasa - CHADEMA
    11.Ilemela - Haines Samson- CHADEMA
    12.Meatu- Meshack Opulukwa- CHADEMA
    Results:Saa 3 usiku 01/nov/2010.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...