Mkurugenzi wa VETA Kanda ya Dar es Salaam Bw. Andrew Joseph akionyeshwa na Mtaalam Muelekezi Bw. Ben Mwaipungu chombo cha Kurejeleza Vipozeo vinavyotumika katika viyoyozi wakati wa warsha ya mafundi mchundo. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Mazingira Bi Rogathe Kisanga na kushoto kwake ni Mkuu wa Chuo cha Veta Dar es Salaam Bw Samuel Ngandu Dar es salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Big Up Ben! Kijana wetu una-represent Kinondoni Shamba. Na huo ni mwanzo tu!

    ReplyDelete
  2. Rekebisha:

    Hawa ni mafundi stadi (craftsmen).

    Mafundi mchundo (technicians) ni wale wa vyuo vya DIT, MIST, TCA, na Karume Tech ambavyo vinatoa diploma na kwenda juu.

    sio uchungu ni ukweli.

    ReplyDelete
  3. Big up Ben, umetoka mbali sana hadi kufikia hapo ulipo ndugu yangu, Mungu akusimamie kaka angu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...