Sasa wateja wote wa malipo ya Kabla wanaweza KUJIVINJARI VODA KWENDA VODA kwa ROBO SHILINGI tu kwa sekunde (Bila Kodi: VAT & Excise) usiku mzima (i.e. kuanzia saa 6 usiku hadi saa 12 asubuhi) kila siku.Ofa hii ni kwa wateja waliopo mikoa ya DSM, Morogoro, Tanga, Pwani, Zanzibar, Lindi, Mtwara na Shinyanga vijijini.Wateja waliopo mikoa mingine iliyobakia wataendelea kuwasiliana kwa SHILINGI MOJA tu kwa sekunde kwa simu za Voda kwenda Voda.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...