Home
Unlabelled
hepi besdei ya kuzaliwa Da'Ipyana
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ndaga fijo Kalumbu, Kyala akusajege
ReplyDeleteJoune Kinyamana Nsangalufu - Mwanza
michuzi hivi kiswahili unajua au labda mimi ndio sikijui,unaposema h.birthday ya kuzaliwa?naomba niulize kwani kuna h.bday ya kufa!
ReplyDeletehappy birhday Ipyana,hiyo beach inanikumbusha kwetu kyela matema beach!
ReplyDeletewee nae unatuaibisha wanyakyusa bwana.
ReplyDeleteHongera sana wajina kwa kusherehekea siku yako ya kuzaliwa. Mungu akupe maisha marefu yenye afya tele.
ReplyDeleteNimefurahi sana kuona kuna female ana jina kama langu. Nina miaka zaidi ya 35 tangu nizaliwe sijawahi kumuona msichana mwenye jina la Ipyana zaidi yangu na nilikuwa natafuta sana nije kumuona hata mmoja becoz wote niwajuao ni wanaume. Ippy Ipaja
Anonymous@7:53pm: Usisahau maana hali ya Ipyana ni "Huruma". Hivyo jina hilo ni unisex. It may not be a popular name among walindwana-baby girls.
ReplyDelete