Home
Unlabelled
Flaviana Matata arejea nchini
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Karibu nyumbani dada yetu Flavian......mmoja wa Watanzania wachache maarufu duniani wanaojua na kuelewa maana ya uzalendo. Tunajua ulikuwa na uwezo wa kwenda mapumzikoni sehemu yeyote maarufu hapa duniani, lakini kitengo cha wewe kuamua kuja nyumbani ni cha kuigwa na Watanzania wengine waliolowea ughaibuni. Vilevile nikupongeze kwa jitahada zako za kusaidia watoto yatima. Karibu nyumbani na ujisikie uko nyumbani. Nimefarijika mno!
ReplyDelete