Home
Unlabelled
Gavana wa Benki kuu azindua noti mpya leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nimefurahishwa na kitendo cha Benku kuu kuwaheshimu maraisi wetu wa kwanza baada ya Uhuru wa tanzania, Mwalimu J.K. Nyerere na A. Karume
ReplyDeletePia nimefurahishwa na kitendo cha Benki kuu kutumia picha ya Mwalimu Nyerere kama alama ya usalama katika noti zote.
Huu ni mwanzo mzuri kabisa katika Taifa letu Tanzania.
Ankal weka noti tuzione nasisi tuliokuwa ugenini tusije kurudi nyumbani tukatiwa changa la macho na vijana wa mjini kwa minoti feki
ReplyDeletemimi nilipoelewa ni kwenye alama za usalama, hasa alipolinganisha na YURO ya Uingereza, kumbukeni hii hotuba haikuwa free style ila iliandikwa, na ikafanyiwa riheso.
ReplyDeleteMkulima.
Yaani maaaelezo yote hayooooooo hajatuonyesha hata hizo noti??? Halafu ni uongo kuwa kampuni hiyo inachapisha pia dollar wewe!!!! Acha kabisa....dollar inatengenezwa na federal reserve unazani hiyo ni shillingi wasmwachie msweeden atengeneze??
ReplyDeleteEuro ya uingereza,Gavana wa benki kuu huyo.
ReplyDeletejamani naomba mnisaidie watu wa uchumi, hivi serikali ikichapisha pesa alafu ikawa na miradi mbalimbali kama ya barabara nk. ikaajiri watu wasio na ajira zile hela zikatumika kikamilifu kwa njia hatuwezi kufika mbali au,
ReplyDeletenina miaka 17 anataka kujua tu na napenda kiswahili sipendi kuchanganya changanya na english kama watanzania wengine wa nje.
mi nashangaa sana yani sijawahi kusikia hata siku moja dola inabadilika au hela ya kenya inabadilika
ReplyDelete