Gavana wa Benki Kuu Profesa Benno Ndullu
akionesha mifano ya noti mpya leo.
Chini ni video yake akitoa maelezo ya noti hizo mpya
.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Fidelis IrengoDecember 17, 2010

    Nimefurahishwa na kitendo cha Benku kuu kuwaheshimu maraisi wetu wa kwanza baada ya Uhuru wa tanzania, Mwalimu J.K. Nyerere na A. Karume
    Pia nimefurahishwa na kitendo cha Benki kuu kutumia picha ya Mwalimu Nyerere kama alama ya usalama katika noti zote.
    Huu ni mwanzo mzuri kabisa katika Taifa letu Tanzania.

    ReplyDelete
  2. Ankal weka noti tuzione nasisi tuliokuwa ugenini tusije kurudi nyumbani tukatiwa changa la macho na vijana wa mjini kwa minoti feki

    ReplyDelete
  3. mimi nilipoelewa ni kwenye alama za usalama, hasa alipolinganisha na YURO ya Uingereza, kumbukeni hii hotuba haikuwa free style ila iliandikwa, na ikafanyiwa riheso.
    Mkulima.

    ReplyDelete
  4. Yaani maaaelezo yote hayooooooo hajatuonyesha hata hizo noti??? Halafu ni uongo kuwa kampuni hiyo inachapisha pia dollar wewe!!!! Acha kabisa....dollar inatengenezwa na federal reserve unazani hiyo ni shillingi wasmwachie msweeden atengeneze??

    ReplyDelete
  5. Euro ya uingereza,Gavana wa benki kuu huyo.

    ReplyDelete
  6. jamani naomba mnisaidie watu wa uchumi, hivi serikali ikichapisha pesa alafu ikawa na miradi mbalimbali kama ya barabara nk. ikaajiri watu wasio na ajira zile hela zikatumika kikamilifu kwa njia hatuwezi kufika mbali au,
    nina miaka 17 anataka kujua tu na napenda kiswahili sipendi kuchanganya changanya na english kama watanzania wengine wa nje.

    ReplyDelete
  7. mi nashangaa sana yani sijawahi kusikia hata siku moja dola inabadilika au hela ya kenya inabadilika

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...