Da'Ipyana Eliakim Mwaisaka akiwa amepozi maeneo ya coco beach wakati wa mnuso wa kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa. Familia ya Eliakim Mwaisaka inamtakia maisha marefu na yenye mafanikio.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Ndaga fijo Kalumbu, Kyala akusajege



    Joune Kinyamana Nsangalufu - Mwanza

    ReplyDelete
  2. michuzi hivi kiswahili unajua au labda mimi ndio sikijui,unaposema h.birthday ya kuzaliwa?naomba niulize kwani kuna h.bday ya kufa!

    ReplyDelete
  3. happy birhday Ipyana,hiyo beach inanikumbusha kwetu kyela matema beach!

    ReplyDelete
  4. wee nae unatuaibisha wanyakyusa bwana.

    ReplyDelete
  5. Hongera sana wajina kwa kusherehekea siku yako ya kuzaliwa. Mungu akupe maisha marefu yenye afya tele.

    Nimefurahi sana kuona kuna female ana jina kama langu. Nina miaka zaidi ya 35 tangu nizaliwe sijawahi kumuona msichana mwenye jina la Ipyana zaidi yangu na nilikuwa natafuta sana nije kumuona hata mmoja becoz wote niwajuao ni wanaume. Ippy Ipaja

    ReplyDelete
  6. Anonymous@7:53pm: Usisahau maana hali ya Ipyana ni "Huruma". Hivyo jina hilo ni unisex. It may not be a popular name among walindwana-baby girls.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...